Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Asantehapo mwanae mpendwa alikua amelala au? Au siku hiyo alikua amelewa gongo bwashee?
P
Asantehapo mwanae mpendwa alikua amelala au? Au siku hiyo alikua amelewa gongo bwashee?
Asante pia kwa kauli ya kiungwana sanaAsante
P
Tanzania ni nchi dhaifu sana na yenye wananchi dhaifuBado siamini kabisa kama Polepole katekwa ila unyama huu wanaoendelea kuufanya hawa watu ipo siku yao inakuja kabisa na wao watalia na kusaga meno. Utawala unamwisho wake
=====================
Mdau amenisukumia taarifa hii na ni mtu mwenye taarifa za kuaminika ila sijathibitisha na independent source zingine Ila kwa mujibu wa mdau wetu kwa sasa Bashite kaja front tena na ndo maana kila mahali yupo na Mama yao na anategemewa kwenye ukatili!
Wamepanga kwa sasa kumsafirisha nje ya nchi na wanampeleka Comoros ambapo mdau anasema wapo wengine kutoka Zanzibar huko!
Anadai mdau kuwa wameamua hawamwui Polepole kwa sasa na wamesema kwa dharau “watanzania si watu wa vitendo ni kelele” ila ni kama kumwua wameona ni mapema!
Mdau ana uchungu sana na Bashite na amesema huyu mtu amefanya mengi na anahusika tokea wakati wa Magufuli kufanya ukatili! Of course hii si habari mpya!
Soma Pia: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
Polepole is ALIVE hii ni 💯na amehifadhiwa safe house moja wanapohifadhi maVIP (this is confirmed by 3 different sources) ! Shida hata tukiweka location hatasaidika 😓 - tutaishia kuweka viemoji vya kulia 😭 tu - so sad!
Leo marafiki na colleagues wake Polepole kimyaa na wako ktk mfumo! Mungu anajua
But ushauri kwako
View attachment 3485643
Inasikitisha sana. Maumivu wanayopitishwa watu hawa tena na binadamu wenzao kisa kuwa Wakweli na Wazalendo kwa nchi yao.Tangu mchango wa kwanza hapa nasisisitiza matumizi ya logic, Polepole ametekwa Mdude style, kwa vile Polepole ana hadhi fulani, tuombe Mungu waingie huruma wasimpeleke walipompeleka Mdude ¡.
Logic logic logic
P
Naunga mkono hojaKunapotokea matukio hatarishi kama haya, sii burasa kuchapisha habari za kubuni za kuokota okota, kwa jinsi alivyotekwa ni Mdude style, wampeleke visiwa vya Comoros for what?, logic inagoma, kitu cha kufanya ni kunuomba tuu Mungu, waingie utu na huruma, awe hai!.
Mimi kwa upande wangu naendelea kuwasisitizia
Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.
Lakini kama ni wale wasiojulikana 'wasiojulikana', then tunawaomba kwa kuwashauri, mfanyieni tuu mohojiano kwa njia za kawaida za majojiano, kama akikutikana na hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye kujijua, mkajikuta badala ya kumsaidia, mkamponza, Mzee Karma akamshukia kama mlivyomponza yule mtangulizi wake!. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Ni ushauri tuu!.
P
Hayo yote wanayowatendea wengine, watakuja kutendewa wao na kitu Kinachoitwa karma, na malipo ni hapa hapa duniani!.Inasikitisha sana. Maumivu wanayopitishwa watu hawa tena na binadamu wenzao kisa kuwa Wakweli na Wazalendo kwa nchi yao.
Mnasema kuna wanajeshi, polisi, usalama na vyombo vingine vinawaunga mkono, mnafeli wapi kumkomboa Polepole. Kama mission ndogo ya kumkomboa mateka mmoja inawashinda, mtawezaje kuongoza maandamano ya kuangusha na ku replace serikali iliyopo?
Huyo mama n malya kama malya wengine, anasema wanajua location ila hawawezi kusema 😂Na wapumbavu wanamuamini Maria
Kwan wameuliwa wangapi na hakuna lililotokea?Serikali watafanya ujinga mkubwa wa mwaka kama wataamua watamuua huyu mtu.
Sasa sikia we chawa....mwambia mamako amuue si yupo naye.Kwan wameuliwa wangapi na hakuna lililotokea?
Mama yangu alifariki 2003, samia sio mama yangu wala hawezi kujaribu kuwa mama yangu.Sasa sikia we chawa....mwambia mamako amuue si yupo naye.
Mungu hawahi wala hachelewi. Anatenda jambo kadri inavyompendeza na kwa kufuata schedule yake!Huyo mungu hana msaada wowote. A useless mungu.
Sasa kiherehere cha nini? Subiri 29th OctoberMama yangu alifariki 2003, samia sio mama yangu wala hawezi kujaribu kuwa mama yangu.
Kwahy mnasubiri ifike 29 October ndo muandamane 😂
Atauawa kama hao wngn na huna la kuwafanya, sisemi haya kwa furaha ila huo ndio ukweli mana wabongo ni ma-keyboard fighters
Sawa kiongozi wa Keyboard fighters group 😂Sasa kiherehere cha nini? Subiri 29th October
Wewe ni nani? Utakuwa Inzi wa kijani kwenye mavi. Mwambie mamako hivi safari hii hachomoki na WASITHUBUTU kumuua Polepole.Sawa kiongozi wa Keyboard fighters group 😂
Sawa keyboard warriors 😂Wewe ni nani? Utakuwa Inzi wa kijani kwenye mavi. Mwambie mamako hivi safari hii hachomoki na WASITHUBUTU kumuua Polepole.
Mimi sioni faida ya kuwasoma hawa wanaharakati wa bongo, hasa huyu. Anapenda kuonekana ana za ndaniii kama Brittanica, halafu saa zingine ni maboya au kukurupuka au useless information.Na wapumbavu wanamuamini Maria