Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

Kwa hio wewe wamekwambia wamempeleka wapi mkuu? Maana it seems like unajua walipomuweka
Tangu mchango wa kwanza hapa nasisisitiza matumizi ya logic, Polepole ametekwa Mdude style, kwa vile Polepole ana hadhi fulani, tuombe Mungu waingie huruma wasimpeleke walipompeleka Mdude ¡.
Logic logic logic
P
 
Mbona Sativa alipona na yupo?.
Nimeshauri tutumie logic, ukiiamini hii ya Comoros ina maana Mdude yuko Comoros!, Soka yuko Comoros, nimeuliza mtu epelekwe Comoros for what?, logic inagoma ¡
Ni Mungu tuu anayeweza kumuokoa Polepole¡
P
Huyo mungu atamwokoaje Polepole ilhali alishindwa kuzuia asitekwe?

Akili zingine bana 🤣🤣.
 
Ukitaka kujua hili jambo lipo mtandaoni tu mtaana halipo kabisa nenda mtaani ndio utajua kama hili jambo watu halija wagusa watu wana endelea na habari zao wala hawaangaiki na llote lile
Sijui mitaa yako, ila jambo lipo kitaa tena pipo zinaongea sana tu, tena kuna watu wanaongea live sio kwenye mitandao kuwa 29.10 wanatoka.

Hata juzi kwa Tesha, hata wasio na simu jana walijua mda mfupi tu baada ya jamaa kuongea.

Huenda wewe ni wa private cars, unajifungia ofisini baas ila watu wanaongea tena kwa uchungu sana.
 
Sawa
 
Kama Mungu alimuacha mwanae mpendwa wake anayependezwa nae, akasulubiwa, who is Polepole compared?.

Hili la "Akili zingine bana 🤣🤣", nimelipokea, thanks
P
Mwanae mpendwa inasemekana alimwacha ili nyie mkombolewe na ukimwita kwa jina lake lazima atajibu , hapo mwanae mpendwa alikua amelala au? Au siku hiyo alikua amelewa gongo bwashee?
 
Back
Top Bottom