Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

Kunapotokea matukio hatarishi kama haya, sii burasa kuchapisha habari za kubuni za kuokota okota, kwa jinsi alivyotekwa ni Mdude style, wampeleke visiwa vya Comoros for what?, logic inagoma, kitu cha kufanya ni kunuomba tuu Mungu, waingie utu na huruma, awe hai!.

Mimi kwa upande wangu naendelea kuwasisitizia

Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.

Lakini kama ni wale wasiojulikana 'wasiojulikana', then tunawaomba kwa kuwashauri, mfanyieni tuu mohojiano kwa njia za kawaida za majojiano, kama akikutikana na hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye kujijua, mkajikuta badala ya kumsaidia, mkamponza, Mzee Karma akamshukia kama mlivyomponza yule mtangulizi wake!. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Ni ushauri tuu!.
P
Leo umeongea point. 100% true. Habari za huyu dada nyingi ni za kishabikuna na kitoto. Hachuji kitu. Anapenda awe wa mwanzo kutoa information hata kama za kijinga. Wanachanganya sana watu kwa style hii.

M/Mungu atasikia dua ya kila mmoja wetu juu ya mpendwa wetu Polepole. Atabaki hai inshallah mpaka pale siku yake itapofika. Wakikatisha uhai wake basi pia wahusika wooooote wa zoezi hili (waliopanga, waliotoa order, yani kila aliyehusika hata kwa udogo wa namna gani) na vizazi vyao, wapate stahiki zao kuanzia hapa hapa duniani, huku wote tukishuhudia, inshallah 🙏🙏.
 
Kunapotokea matukio hatarishi kama haya, sii burasa kuchapisha habari za kubuni za kuokota okota, kwa jinsi alivyotekwa ni Mdude style, wampeleke visiwa vya Comoros for what?, logic inagoma, kitu cha kufanya ni kunuomba tuu Mungu, waingie utu na huruma, awe hai!.

Mimi kwa upande wangu naendelea kuwasisitizia

Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.

Lakini kama ni wale wasiojulikana 'wasiojulikana', then tunawaomba kwa kuwashauri, mfanyieni tuu mohojiano kwa njia za kawaida za majojiano, kama akikutikana na hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye kujijua, mkajikuta badala ya kumsaidia, mkamponza, Mzee Karma akamshukia kama mlivyomponza yule mtangulizi wake!. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Ni ushauri tuu!.
P
Unahisi awajulikani?
 
Unahisi awajulikani?
Mimi ni raia mwema wa nchi yangu, natii sheria bila shuruti.
Mamlaka ikisema ni wasiojulikana, then ni wasiojulikana, ndio tumeikumbusha mamlaka Thread 'Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe' Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.

Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu

Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.

Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.

Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"

Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.

Paskali

Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.

Lakini kama ni wale wasiojulikana 'wasiojulikana', then tunawaomba kwa kuwashauri, mfanyieni tuu mohojiano kwa njia za kawaida za majojiano, kama akikutikana na hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye kujijua, mkajikuta badala ya kumsaidia, mkamponza, Mzee Karma akamshukia kama mlivyomponza yule mtangulizi wake!. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Ni ushauri tuu!.

P
 
Mnasema kuna wanajeshi, polisi, usalama na vyombo vingine vinawaunga mkono, mnafeli wapi kumkomboa Polepole. Kama mission ndogo ya kumkomboa mateka mmoja inawashinda, mtawezaje kuongoza maandamano ya kuangusha na ku replace serikali iliyopo?
Wanasema kina nani?

Nchi haikombolewi kwa kutegeana??

Kila mtu anasikilizia mwenzake afanye
 
Mnasema kuna wanajeshi, polisi, usalama na vyombo vingine vinawaunga mkono, mnafeli wapi kumkomboa Polepole. Kama mission ndogo ya kumkomboa mateka mmoja inawashinda, mtawezaje kuongoza maandamano ya kuangusha na ku replace serikali iliyopo?
29october mwisho ya yote utaniambia
 
Acha uongoo wee Mwachi, mjeda fake.
Umekuaje siku hizi wee? Mxxxiiiieeeeeww.
Hivi unajua wote wanaopiga makelele humu ni wa mikoani, maporini au vijijini, maana huko ni kimyaaaaa...
Hebu wewe tuambie unaishi wapi tukudadavue...
Hapa Dar, ni shwariiii, ukienda Kariakoo ni makelele ya wamachinga, Buku Buku Buku...
Ukija Ilala, watu watu jioni wanaenda kwenye mishkaki na Chips na familia zao...
Ukija Sinza na Kino, watu wanatumia hela zao ziwazoeee...
Labda huko Kimara kwa wachaga, ndio unaweza kusikia fununu maana wale ni walevi sugu, pombe haikai kichwani....
 
Bado siamini kabisa kama Polepole katekwa ila unyama huu wanaoendelea kuufanya hawa watu ipo siku yao inakuja kabisa na wao watalia na kusaga meno. Utawala unamwisho wake
=====================

Mdau amenisukumia taarifa hii na ni mtu mwenye taarifa za kuaminika ila sijathibitisha na independent source zingine Ila kwa mujibu wa mdau wetu kwa sasa Bashite kaja front tena na ndo maana kila mahali yupo na Mama yao na anategemewa kwenye ukatili!

Wamepanga kwa sasa kumsafirisha nje ya nchi na wanampeleka Comoros ambapo mdau anasema wapo wengine kutoka Zanzibar huko!

Anadai mdau kuwa wameamua hawamwui Polepole kwa sasa na wamesema kwa dharau “watanzania si watu wa vitendo ni kelele” ila ni kama kumwua wameona ni mapema!

Mdau ana uchungu sana na Bashite na amesema huyu mtu amefanya mengi na anahusika tokea wakati wa Magufuli kufanya ukatili! Of course hii si habari mpya!

Soma Pia: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6

Polepole is ALIVE hii ni 💯na amehifadhiwa safe house moja wanapohifadhi maVIP (this is confirmed by 3 different sources) ! Shida hata tukiweka location hatasaidika 😓 - tutaishia kuweka viemoji vya kulia 😭 tu - so sad!

Leo marafiki na colleagues wake Polepole kimyaa na wako ktk mfumo! Mungu anajua

But ushauri kwako

View attachment 3485643
Hiyo itakuwa ni disinformation inayotolewa kwa makusudi maalumu na wauaji wake.
 
Ukitaka kujua hili jambo lipo mtandaoni tu mtaana halipo kabisa nenda mtaani ndio utajua kama hili jambo watu halija wagusa watu wana endelea na habari zao wala hawaangaiki na llote lile
With all due respect; Watu wa mtandaoni wanaishi wapi?

Sio swali la muhimu wala usilijibu.
 
Ukombozi ni tarehe 29 October.

Siku hiyo na Polepole ataonekana.

Makomandoo wanasubiri tarehe 29/October, kwa sasa naona wanapiga push ups na kula vidonge vya protein na steroids kujenga nyama za mwili.
 
Hivi unajua wote wanaopiga makelele humu ni wa mikoani, maporini au vijijini, maana huko ni kimyaaaaa...
Hebu wewe tuambie unaishi wapi tukudadavue...
Hapa Dar, ni shwariiii, ukienda Kariakoo ni makelele ya wamachinga, Buku Buku Buku...
Ukija Ilala, watu watu jioni wanaenda kwenye mishkaki na Chips na familia zao...
Ukija Sinza na Kino, watu wanatumia hela zao ziwazoeee...
Labda huko Kimara kwa wachaga, ndio unaweza kusikia fununu maana wale ni walevi sugu, pombe haikai kichwani....
Niliko kuwepo huku habari ni kuhusu kutekwa kwa pole pole, hadi wabibi wanajadili.
Niko uraiani au mtaani.
 
Niliko kuwepo huku habari ni kuhusu kutekwa kwa pole pole, hadi wabibi wanajadili.
Niko uraiani au mtaani.
Maisha ya mitandaoni yanaweza kukufanya ukaamini huo ndio uhalisia wa maisha...
Ukibahatika kufika nchi za wazungu siku moja, anza kufungua mitandao ya wale wazungu wabaguzi, unaweza kufunga virago ukatimka kwa jinsi maudhui utakayokutana nayo, inaweza kukufanya ukawa muoga ukidhani kila mzungu barabarani anatafuta chance kukudhuru akiipata,
Lakini uhalisia wa maisha yake ni tofauti kabisa unapokuwa shuleni au kazini au hata club, kila unaemwona ni smile na salamu za bashasha....
Kwa humu JF ukisoma upupu unaoandikwa humu utadhani kabisa kesho kinanuka, kumbe ni kibodi woria sawa na wale wazungu niliowataja....,
 
Maria Sarungi sijui kama anajua kuwa anatumiwa indirectly,

Misinformation nyingi anatupiwa ili atuingize maboya halafu ajenda ya watesi ifanikiwe!

Hakuna mistake mbaya kama kutamka status y mtu kuwa yuko hai wakati hujui kama yuko hai, Maana kitendo cha kusema yuko hai unwapa watu hope hewa na kuwaondolea watesi pressure na hasira ya umma.

Bora ustick kwenye kutekwa tu,mambo ya kudai yuko hai usiyaseme!
 
Perfect
 
Back
Top Bottom