Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

Ukitaka kujua hili jambo lipo mtandaoni tu mtaana halipo kabisa nenda mtaani ndio utajua kama hili jambo watu halija wagusa watu wana endelea na habari zao wala hawaangaiki na llote lile
Juzi nimempigia b mkubwa wangu , alipo ongelelea kuhusu hili niligundua jambo lipo kitaa , coz bi mkubwa akitoka kupata bia moja mbili tatu lazima aokote umbea wa kitaa
 
Mbona Sativa alipona na yupo?.
Nimeshauri tutumie logic, ukiiamini hii ya Comoros ina maana Mdude yuko Comoros!, Soka yuko Comoros, nimeiliza mtu epelekwe Comoros for what?, logic inagoma ¡
Ni Mungu tuu anayeweza kumuokoa Polepole¡
P
Kwa hio wewe wamekwambia wamempeleka wapi mkuu? Maana it seems like unajua walipomuweka
 
Mbona Sativa alipona na yupo?.
Nimeshauri tutumie logic, ukiiamini hii ya Comoros ina maana Mdude yuko Comoros!, Soka yuko Comoros, nimeiliza mtu epelekwe Comoros for what?, logic inagoma ¡
Ni Mungu tuu anayeweza kumuokoa Polepole¡
P
Hii ya kusema tumwombe Mungu ambae ameshindwa kumlinda mfuasi wake polepole kutekwa , halafu tumwombe awape huruma walio mteka , wakati kashindwa kupawa huruma wasimteke na kumwaga damu nyingi kiasi kile 🤔

Kiufupi na kitabibu ile damu kama ni yake na mgonjwa kashikiliwa bila matibabu ya haraka swala la kupona msahau kabisa
 
Juzi nimempigia b mkubwa wangu , alipo ongelelea kuhusu hili niligundua jambo lipo kitaa , coz bi mkubwa akitoka kupata bia moja mbili tatu lazima aokote umbea wa kitaa
Ina tegemea ana kaa wapi ila kwa watu wenye uthubutu wa kuandamana hizo story hazipo wengine ata polepole hawa mjui
 
Hii nchi sijui ni nani atakuja kuiokoa ni kama Ccm imekuwa juu kuliko taasisi yoyote hapa nchini.

Nilipokuwa mdogo nilikuwa najua usalama wa taifa huwa unaangalia maslahi ya taifa kwanza na si mtu au kiongozi yeyote, sijui kwanini nilijidanganya kwa kiasi hicho na baada ya kujua baadaye kuwa usalama wa taifa upo kwa maslahi ya viongozi wakioko madarakani niliamua kuhamishia matumaini kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwasababu tu limebeba pia neno wananchi na nilijipa moyo sana baada ya hotuba ya kizalendo na ya kijasiri ya Capt Tesha. Ila kutekwa na pengine kupotezwa kwa ndugu yetu na mzalendo wa kweli kwa taifa lake Humphrey Polepole nimepoteza sana matumaini.

Haiwezekani jeshi linalokesha usiku na mchana kulinda mipaka yetu kwa uzalendo wa hali ya juu atekwe na pengine atauawa kikatili
HHP linyamaze kwa kuwaogopa wezi wa rasilimali za taifa letu ambao wanazigawa wapendavyo kwa wageni.

Dah inauma na kuhuzunisha sana

Free Polepole Free Polepole Free Polepole.
 
Kina Maria ni watu wakujitungia stori na huwa hawajui chochote, kama kweli ana mtu anaempa taarifa za kweli kwanini asiweke wazi mahali alipofichwa? Au na yeye anaficha taarifa za polepole alipo? Huu ni uendelezo wa unafiki wa wa Tz wenye tabia za kinyumbu
 
Back
Top Bottom