Lissu Akitoka afanye mambo yake,asipoteze muda kuwatetea mazuzu wa Simba na yanga....acha CCM iwaenyeshe hadi maji waite mma.Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria Sarungi amesisitiza kuwa Tundu Lissu ana rekodi ya kipekee ya utendaji isiyoyumba, na ndiyo sababu viongozi wa kimataifa wanamfuatilia kwa ukaribu.
Amesema ni aibu kwa taifa kuwa na kiongozi mwenye akili na ujasiri kama Lissu, lakini wananchi wanashindwa kusimama kidete kudai uhuru wake.
Maria Sarungi amebainisha kuwa Tundu Lissu amepimwa na majaribu mengi, ikiwemo shambulio la risasi, lakini hajawahi kubadilisha msimamo wake wa kuipigania haki. Alisimulia kwa masikitiko namna rafiki yake mmoja raia wa Kenya alivyomhoji kwanini Watanzania wanashindwa kumlinda kiongozi wao imara, swali ambalo amesema linapaswa kumfanya kila mwananchi atafakari. Kwa mujibu wa Maria Sarungi, kumpenda Lissu kwa maneno hakusaidii, bali ni lazima wananchi wasimame na kudai haki yake sasa.
Mwanaharakati huyo amehitimisha kwa kusema kuwa CHADEMA ina Mwenyekiti halali ambaye kwa sasa anasota gerezani, jambo ambalo linazuia taifa kupata uongozi imara unaohitajika. Maria Sarungi amesisitiza kuwa suala la Tundu Lissu si la CHADEMA peke yake, bali ni mtihani kwa kila Mtanzania.
Amesema kuwa taifa haliwezi kutoka lilipo ikiwa watu wenye uwezo wa kuongoza kama Lissu wataendelea kufungwa kwa sababu tu ya msimamo wao wa kusema ukweli.
Anawaoigania nyie ambao mnatafuta madaraka.Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria Sarungi amesisitiza kuwa Tundu Lissu ana rekodi ya kipekee ya utendaji isiyoyumba, na ndiyo sababu viongozi wa kimataifa wanamfuatilia kwa ukaribu.
Amesema ni aibu kwa taifa kuwa na kiongozi mwenye akili na ujasiri kama Lissu, lakini wananchi wanashindwa kusimama kidete kudai uhuru wake.
Maria Sarungi amebainisha kuwa Tundu Lissu amepimwa na majaribu mengi, ikiwemo shambulio la risasi, lakini hajawahi kubadilisha msimamo wake wa kuipigania haki. Alisimulia kwa masikitiko namna rafiki yake mmoja raia wa Kenya alivyomhoji kwanini Watanzania wanashindwa kumlinda kiongozi wao imara, swali ambalo amesema linapaswa kumfanya kila mwananchi atafakari. Kwa mujibu wa Maria Sarungi, kumpenda Lissu kwa maneno hakusaidii, bali ni lazima wananchi wasimame na kudai haki yake sasa.
Mwanaharakati huyo amehitimisha kwa kusema kuwa CHADEMA ina Mwenyekiti halali ambaye kwa sasa anasota gerezani, jambo ambalo linazuia taifa kupata uongozi imara unaohitajika. Maria Sarungi amesisitiza kuwa suala la Tundu Lissu si la CHADEMA peke yake, bali ni mtihani kwa kila Mtanzania.
Amesema kuwa taifa haliwezi kutoka lilipo ikiwa watu wenye uwezo wa kuongoza kama Lissu wataendelea kufungwa kwa sababu tu ya msimamo wao wa kusema ukweli.
Naona kwanza tutangulie mimi na wewe kisha yeye aje baadae, tusikae kumsubiri mtu aliye mbali mpaka afike wakati mimi na wewe tunaweza kuanza.Mwambie aje na yeye, Tumpambanie TAL woote, Matrako yake.
Ukombozi hauji kwa siku moja, Ndo maana hata Nelson Mandela alikaa miaka 27 gerezani kabla ya kuja kua Rais, Fuatilia Historia ya Hechilema jinsi alivopambana mpaka kupata ukombozi wa Zambia..
Watanzania Wengi wako na CHADEMA na TAL, Ngoja vidonda vya mo29 Vipungue utaona joto litakavo panda.
Naona kwanza tutangulie mimi na wewe kisha yeye aje baadae, tusikae kumsubiri mtu aliye mbali mpaka afike wakati mimi na wewe tunaweza kuanza.
Kaa mguu sawa..Tutangulie wapi Mkuu?
Lissu ana rekodi ya kamdomo sio utendaji!! Lissu ni mfitini na mzandiki aliyejawa na chuki na upumbavu uliopitiliza kiasi cha kushindwa kuudhibiti mdomo wake.Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria Sarungi amesisitiza kuwa Tundu Lissu ana rekodi ya kipekee ya utendaji isiyoyumba, na ndiyo sababu viongozi wa kimataifa wanamfuatilia kwa ukaribu.
Amesema ni aibu kwa taifa kuwa na kiongozi mwenye akili na ujasiri kama Lissu, lakini wananchi wanashindwa kusimama kidete kudai uhuru wake.
Maria Sarungi amebainisha kuwa Tundu Lissu amepimwa na majaribu mengi, ikiwemo shambulio la risasi, lakini hajawahi kubadilisha msimamo wake wa kuipigania haki. Alisimulia kwa masikitiko namna rafiki yake mmoja raia wa Kenya alivyomhoji kwanini Watanzania wanashindwa kumlinda kiongozi wao imara, swali ambalo amesema linapaswa kumfanya kila mwananchi atafakari. Kwa mujibu wa Maria Sarungi, kumpenda Lissu kwa maneno hakusaidii, bali ni lazima wananchi wasimame na kudai haki yake sasa.
Mwanaharakati huyo amehitimisha kwa kusema kuwa CHADEMA ina Mwenyekiti halali ambaye kwa sasa anasota gerezani, jambo ambalo linazuia taifa kupata uongozi imara unaohitajika. Maria Sarungi amesisitiza kuwa suala la Tundu Lissu si la CHADEMA peke yake, bali ni mtihani kwa kila Mtanzania.
Amesema kuwa taifa haliwezi kutoka lilipo ikiwa watu wenye uwezo wa kuongoza kama Lissu wataendelea kufungwa kwa sababu tu ya msimamo wao wa kusema ukweli.
Endelea kupambania nyeti zako.Ni wakati wa kuamka sasa,tumtetee Lissu kwa nguvu zote
Ulikuja lini mjini?Anawaoigania nyie ambao mnatafuta madaraka.
Sijawahi msikia akimpigania mkulima.
Kampiganie weweUlikuja lini mjini?
Ulimjua lini TL manake vingine ni aibi