thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
Sawa tunaangalia ubini wa baba ni wa wapi‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Hata Uzanzibari na Utanganyika sio sawa unless tuvunje kwanza MuunganoIla hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Malezi,mazoea, desturi,tabia,imani na mitazamo.Ila mtoto si anachukua kabila la baba.
Kigezo Cha uzanzibar ni batili.
Kwa umri ndejembi anaonekana mkubwa kusema hajafika 40.mnanipa mashaka.
Wewe Kafiri mzee huna issue,maisha yamekupiga,faraja yako pekee iliyobaki ni chuki ya udini tu,nilijua tu.
muslims are grifters ...