Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 941
- 2,759
Polepole kokote uliko pumzika salama sana mkuu!!
True, Jamaa ana sura ya KIPEMBA Hilo ni kweli,‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Sawa ila kwa nature ya MUUNGANO inaleta sintofahamu kwa WATANGANYIKA TUTA BANANGWA NA KUBAGAZWAhv kwani mtu anafuata asili yake kwa baba au kwa mama!? isitoshe mazingira aliyelelewa mtu ndio huakisi kiasi kikubwa asili yake,itoshe kusema Deo ni Mtanzania na ana haki ya kupata ugombea,uteuzi au nafasi yeyote,siku zote mbona hayakusemwa haya kwani ameshahudumu nafasi nyingi za utumishi wa umma
Wanajua hana kisogo cha kujikinga na mvua.Kuna mtu ameposti humu kuwa Wanzanzibari wamefurahi sana uteuzi wa Ndejembi
Ukimwangalia hivi tu huyo Deo unaona ni ustaadhi wa Pemba kule Wete.‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Wanalileta sababu mbili kuu.Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Ustaadh Deo akiwa amevalia kipedo na yeboyebo.Ukimwangalia hivi tu huyo Deo unaona ni ustaadhi wa Pemba kule Wete.
Mkuu hao watu kwa kuforge ni kawaida. Kama Samia alipata kura 31m wakati ni uongo wa wazi, watashindwa miaka?Huyu jamaa ana miaka 37 aisee nimecheka Sana baada ya kusikitika
Imagine katiba imevunjwa wazi wazi
Kikwete na genge lake wanakenua meno tu
Inashangaza watu kudhani kuwa ni wa bara yule mzenji kabisa kwa mwonekano pasipo shaka yoyoteMbona muonekano wake ni ushahidi usio na shaka kuwa ni was visiwani.
Embu susha hivyo clip hapa watu tuamue.Ustaadh Deo akiwa amevalia kipedo na yeboyebo.
Ni mpemba wa kigogo.Inashangaza watu kudhani kuwa ni wa bara yule mzenji kabisa kwa mwonekano pasipo shaka yoyote
Unamaanisha kipi hapo?wanaharakati wa kibongo ni vilaza sana
huwa huwa hawafanyi uchunguzi wowote, wanameza kila upupu
wako tayari kutunga ujingaujinga mitandaoni ili wapate engagement na mibongo ilivyokuwa mimbulula inaenda na upupu wowote
Hata mimi katika mambo naona ni ya kipuuzi ni udini, hizi dini zenyewe zimeletwa tu toka Mashariki ya Kati, la msingi tuangalie utaifa.Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Mchengerwa Baba Mzanzibar Mama Mtanganyika.hv kwani mtu anafuata asili yake kwa baba au kwa mama!? isitoshe mazingira aliyelelewa mtu ndio huakisi kiasi kikubwa asili yake,itoshe kusema Deo ni Mtanzania na ana haki ya kupata ugombea,uteuzi au nafasi yeyote,siku zote mbona hayakusemwa haya kwani ameshahudumu nafasi nyingi za utumishi wa umma