Awe Mwisilamu au Mkatoliki, au mgogo sisi wananchi tunachotaka atufanyie kazi kwa uadilifu tu.
Wewe ndio Mtanzania ✍️
Awe Mwisilamu au Mkatoliki, au mgogo sisi wananchi tunachotaka atufanyie kazi kwa uadilifu tu.
na maanisha hako kamalaya kanaweza kutunga ujingaujinga halafu mibongo ilivyo mizwazwa inaamini pasi na shakaUnamaanisha kipi hapo?
Inashangaza sana mkuu ,binafsi nikiona mtu anashadadia haya kwanza namvua vyeo kabisa .wanaharakati wa kibongo ni vilaza sana
huwa huwa hawafanyi uchunguzi wowote, wanameza kila upupu
wako tayari kutunga ujingaujinga mitandaoni ili wapate engagement na mibongo ilivyokuwa mimbulula inaenda na upupu wowote
Hata mimi katika mambo naona ni ya kipuuzi ni udini, hizi dini zenyewe zimeletwa tu toka Mashariki ya Kati, la msingi tuangalie utaifa.
Kuna namna huwezi kuviepuka..Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Ili ikae vema,wewe leta uhalisia ili neno "kamalaya" liwe sawa-sawia.na maanisha hako kamalaya kanaweza kutunga ujingaujinga halafu mibongo ilivyo mizwazwa inaamini pasi na shaka
leta napa ushahidi kuwa ni mpemba ?
usiokote tu upupu umeandikwa na waganga njaa
Wadanganyika tumekwisha
Tuliza makalio chawa...wanaharakati wa kibongo ni vilaza sana
huwa huwa hawafanyi uchunguzi wowote, wanameza kila upupu
wako tayari kutunga ujingaujinga mitandaoni ili wapate engagement na mibongo ilivyokuwa mimbulula inaenda na upupu wowote
Uwezi kutatua tatizo kwa kufumbia tatizo au kuficha ukweli ....kwa sasa tz dini ni tatizo kubwa sana sasa hivi Dini zinatumika kama zinavyo tumika kadi za CCM ...wahalifu wote wanajificha nyuma ya dini ili kuendelea kufanya ushenzi wao ..nikosa sana kuzuia watu wanao pambana na wahalifu kwa kuwazuia kuongelea machafu ya dini...mfano hapa tz ni rasmi kuwa sasa uislamu unatumiwa na maadui wa taifa na maadui wa haki na maadui wa uzalendo na maadui wa wazalendo ...NDIYO MAANA MAFISADI WANAOGOPA SANA WASIO WAISLAMU...KUSHIKA NCHI...NANI SEME TU , HOFU YAO NI HOFU YA KWELI KWA SABABU KWA HAYA YALIYO TOKEA WAOVU WOTE WANAOUA WAZALENDO MWISHO WAO UTAKUWA MBAYA TU. TENA NDANI YA MUDA MFUPI SANA.Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Waislamu haswa wanaokwenda misikitini ni wapumbavu huu ni ukweli siyo tusi.Hizi ni chuki tu dhidi ya Waislam. Hakuna jipya hapa.
Ukimuangalia sura tu inajieleza.‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Kwa hiyo?‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️

kwa sababu ana ushombeshombe?Mbona muonekano wake ni ushahidi usio na shaka kuwa ni was visiwani.