Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza


Tuone ataapa kwa kitabu gani cha dini
Deogratias ni jina la Kikristo. Ataapa kwa Biblia ili kuendeleza kuwadanganya Wadanganyika!
 

Tuone ataapa kwa kitabu gani cha dini
Deogratias ni jina la Kikristo. Ataapa kwa Biblia ili kuendeleza kuwadanganya Wadanganyika!
 
Siku hiyo hakutokua na wanaharakati unaowaona
Hata wakati wa dikteta Magufuli walikuwepo kibau. Watu wanaojitambua hawasumbuliwi na hizi dini za kuletewa ni wajinga wachache ndio husumbiliwa nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…