Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️

Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!

Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:

👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi

Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Kwahiyo soon tutarejeshwa kwa Sultan kupitia mikataba kama ya bandari
 
Kuna mtu ameposti humu kuwa Wanzanzibari wamefurahi sana uteuzi wa Ndejembi
Yaani kuna mambo hufanyika, "ONLY IN TANZANIA" !!
Jaribu kuwaza kwa sauti, MARA PAAAA....!!NUSU MLINGOTI mama CHURA R.I.P, the next Presida according to Tanzania Fake Constitution.....is DEOGRATIAS NDEJEMBI....really? Tusubiri mwisho wake in 4+ years to come!!!
 
Wanalileta sababu mbili kuu.
Moja desturi ya CCM raisi akiwa muislam makamu anakuwa mkristo. Kinyume chake pia.
Mbili Raisi akiwa Mzanzibar basi makamu anakuwa mtanganyika, kinyume chake pia.
Nyongeza muhimu: EN alishambuliwa sababu ya ukatoliki wake hivyo mrithi akaguliwa kwa udini na zaidi kwa ukatoliki wake. Haya ndiyo Madara ya dhambi ya ubaguzi. Ubaguzi wa kidini.

Sio kweli mkuu, Kikwete na Shein, Kikwete na Bilal wote walikua waislamu.

Kiilivo ni hivi, katika nafasi kuu tatu ukijumuisha na waziri mkuu hua lazima kuwa na mmoja wa dini nyengine kwa maana either waislamu wawili mkirsto mmoja, au wakristo wawili muislamu mmoja. Kwahiyo hapo bado sijaona tatizo lolote.
 
huyu Maria ni mpuuzi sana, yeye always anahubiri chuki na ubaguzi. pumbavi kabisa
 
Hta w
Sio kweli mkuu, Kikwete na Shein, Kikwete na Bilal wote walikua waislamu.

Kiilivo ni hivi, katika nafasi kuu tatu ukijumuisha na waziri mkuu hua lazima kuwa na mmoja wa dini nyengine kwa maana either waislamu wawili mkirsto mmoja, au wakristo wawili muislamu mmoja. Kwahiyo hapo bado sijaona tatizo lolote.
Hata wote wakiwa wa imani moja kuna madhara gani
Kwani anatafutwa shehe au mchungaji au padre?
 
Inshu ya uzanzibar Haina udini kaka, ukiwa Zanzibar wao wanacho jua ni kua chogo ni mtu yoyote mbara si MKRISTO Wala muislamu ukiwa mbara wengi chogo udini ni propaganda tu ya wazenji kujifichiamo mi ni muislamu mbona bado mnatuangalia Kwa macho ya chini niliwahi mwambia rafiki yangu shamira ya Mimi kushika site mahala akaniangalia macho ya chini eti si uende huko kwenu ,kha kwani wazenji hawamiliki site bara? Na anajua mi muislamu mwenzake

acha mihemko mkuu
 
Issue ya udini ipo kabisa na huyo mama ndio kaileta.
Dini zenyewe mmeletewa tu hapa halafu mnajifanya nyie ndio mna dini kuliko hata huko zilipotoka wajinga nyie.Babu wa Babu aliyemzaa Baba wa babu yako au mama yako walikuwa ni dini gani?
 
Huyu dada amevuruga sana hapa naona hata watu wengi watamkimbia ….
 
Back
Top Bottom