Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Kuna mjomba wa kikurya, yeye hapa mtaani kazi yake kubwa ni kuchambua wanasiasa na kupiga ramli chonganishi, na ukimuuliza maswali hana majibu wala hawezi kujieleza. Ni wale walio kama nyumbu wa Dada Mange kasema. Na bado utakuta na yeye anajikuta ni mtu smart kuliko waliopo CCM wakati bichwa lake linasubiri Maria au Mange aseme kitu na lenyewe lije ku share ujinga na wanakijiji wenzake.
Mjomba anasepa zake na kijiji 😂🙌.
Nashangaa zaidi kuona watu kama hao eti na JamiiForum wapo na wanajiamini kabisa kuongea na kuaminishana pumba zao
 
Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.

Hiizi kelele, fitna, uzushi, na propaganda zina msukumo wa chuki dhidi ya Uislam na Waislam. Na hata hili la "uzanzibari" ni pazia la kufunika chuki dhidi ya Uislam na Waislam, pazia ambalo linatumika ili Waislam wasielewe. Lakini hii ni Chuki dhidi ya Uislam na Waislam inayofichwa nyuma ya kupigania "utanganyika" na kuupinga "uzanzibari". Na wakati mwengine chuki hii hushindwa kuificha, wakaidhihirisha.
 
Mama wa Maria ni raia wa Hungary kwahiyo Maria sio mtanzania? Mtoto hujitambulisha kupitia upande wa baba au mama? Kama Ndejembi ni Mzanzibari inawasaidiaje CHADEMA kutoka kwenye mkwamo mkubwa walio nao? Kwanini CHADEMA wasiiache CCM izidi kukosea ili wao wachukue nafasi yao badala ya kushinikiza CCM ifanye maamuzi sahihi ya kukijenga zaidi?
Hako kamalaya kamesoma na dada yangu zanaki, na kalikuwa kakilaza mwanzo mwisho,
Kanaishi kwenye nyumba ya makuti, halafu kanaanzisha moto
Kapumbavu sana
 
Kama maisha yangu ni mazuri kukuzidi maana yake wewe ndio mpumbavu umeshindwa kushinda changamoto zako kimaisha halafu unakuja kufa huku hukufurahia maisha yako.
Binadamu mwenye akili ni yule aleweza kuisha bora, sasa wewe unaganga njaa akili utaitoa wapi ya kunizidi
Naona mnatambiana lakini nyote hatuwajui sasa tutaamini vipi kama mna hela kweli?
 
Hiizi kelele, fitna, uzushi, na propaganda zina msukumo wa chuki dhidi ya Uislam na Waislam. Na hata hili la "uzanzibari" ni pazia la kufunika chuki dhidi ya Uislam na Waislam, pazia ambalo linatumika ili Waislam wasielewe. Lakini hii ni Chuki dhidi ya Uislam na Waislam inayofichwa nyuma ya kupigania "utanganyika" na kuupinga "uzanzibari". Na wakati mwengine chuki hii hushindwa kuificha, wakaidhihirisha.
Inshu ya uzanzibar Haina udini kaka, ukiwa Zanzibar wao wanacho jua ni kua chogo ni mtu yoyote mbara si MKRISTO Wala muislamu ukiwa mbara wengi chogo udini ni propaganda tu ya wazenji kujifichiamo mi ni muislamu mbona bado mnatuangalia Kwa macho ya chini niliwahi mwambia rafiki yangu shamira ya Mimi kushika site mahala akaniangalia macho ya chini eti si uende huko kwenu ,kha kwani wazenji hawamiliki site bara? Na anajua mi muislamu mwenzake
 
Chuki dhidi ya Uislam na Waislam ni kitu real. Kuna msukumo wa chuki dhidi ya Waislam nyuma ya haya mambo. "Uzanzibari" ni pazia tu la kufichia hilo ili Waislam wasitambue kwa haraka, na miongoni mwa walioingia huu mtego nasikitika ni wewe Ndugu yangu.

Kuitwa machogo ni katika mambo ya kijahiliya tu waliyonayo baadhi ya Wazanzibari, kama huku Bara kuna watu wanaitana wale washamba, wale watu wa vichakani, nk. Ni mambo ya kijahiliya tu. Ubaguzi wa rangi na ukabila ni katika mambo ya kijahiliya.

Kuhusu Ardhi, kwani Sheria zinasemaje? Je, suala la Ardhi ni katika mambo ya Muungano?

By the way, mimi sio Mzanzibari.
 
‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️

Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!

Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:

👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi

Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anabisha kwamba Ndejembi siyo MPEMBA?
 
Back
Top Bottom