Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Acha kabisa..na hao ndiyo wanataka eti tuwape nchi.Kweli?

Kwa hivyo maria Sarungi yeye ni raia wa Hungary? Kwani hiyo ndiyo asili ya mama yake‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Wanadai kasilimuSiamini.
Sababu Baba yake Pancras John Ndejembi , alikuwa mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dodoma.
Na sikuona uislam hapo kwao, uzunguni Dodoma.

Tulia. CCM ina wenyewe! 😂😂😂Kwahiyyo akiandika huyo ndio mnameza mazima, kweli nyumbu mna akili kisoda
Mbona wanadai kuwa mshkaji kasilimu? Ukweli ni upi?Wakulaumiwa ni Tec ndio walikabidhi jina kwa Mama walipokuwa Dodoma.
Muelewe wazi Deo ni Mwanaparokia, mbunge wa Chamwino, Baba yake amekuwa mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Dodoma.
Tofauti ya kiakili kati ya samia na Maria ni ipi?Sasa nani afuate taarifa za wajinga ka Maria
USSR
Duh!..TEC tena?Wakulaumiwa ni Tec ndio walikabidhi jina kwa Mama walipokuwa Dodoma.
Muelewe wazi Deo ni Mwanaparokia, mbunge wa Chamwino, Baba yake amekuwa mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Dodoma.
Kakosa tu lafudhi ya mkojani!Ukimwangalia hivi tu huyo Deo unaona ni ustaadhi wa Pemba kule Wete.
‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Ndugu mmoja akasema ,kuna watu wanautamani Urais ila hakuna hata mmoja, swali yeye ni Mungu ? Twende tu .‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Ngoja waendelee kudai, kudhania, kuhisi.Wanadai kasilimu
Kama maisha yangu ni mazuri kukuzidi maana yake wewe ndio mpumbavu umeshindwa kushinda changamoto zako kimaisha halafu unakuja kufa huku hukufurahia maisha yako.Tayari umesha kilo kuwa ni mpumbavu ...kwa kudhani kuwa kipimp cha mtu kuwa siyp mpumbavi ni elimu pesa au umashuguri ....kati ya jizo sifa hakuna hata moja inayp mfanya mtu asiwe mpumbavu ....mtu mpumbavu ni mtu mwenye akili finyu anayo itumia kimaisha tena qkijidhani ni mwenye akili kubwa
Taarifa kama hiyo hata kuiamini inatia ukakakasiAcha kabisa..na hao ndiyo wanataka eti tuwape nchi.Kweli?