JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Huyo ni popo. Si mnyama wala sio ndege. Hawezi kuaminiwa na upande wowote.hv kwani mtu anafuata asili yake kwa baba au kwa mama!? isitoshe mazingira aliyelelewa mtu ndio huakisi kiasi kikubwa asili yake,itoshe kusema Deo ni Mtanzania na ana haki ya kupata ugombea,uteuzi au nafasi yeyote,siku zote mbona hayakusemwa haya kwani ameshahudumu nafasi nyingi za utumishi wa umma