Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

wanaharakati wa kibongo ni vilaza sana
huwa huwa hawafanyi uchunguzi wowote, wanameza kila upupu
wako tayari kutunga ujingaujinga mitandaoni ili wapate engagement na mibongo ilivyokuwa mimbulula inaenda na upupu wowote
Inashangaza sana mkuu ,binafsi nikiona mtu anashadadia haya kwanza namvua vyeo kabisa .
These shows them how most of them are brainwashed🙌
 
Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Uwezi kutatua tatizo kwa kufumbia tatizo au kuficha ukweli ....kwa sasa tz dini ni tatizo kubwa sana sasa hivi Dini zinatumika kama zinavyo tumika kadi za CCM ...wahalifu wote wanajificha nyuma ya dini ili kuendelea kufanya ushenzi wao ..nikosa sana kuzuia watu wanao pambana na wahalifu kwa kuwazuia kuongelea machafu ya dini...mfano hapa tz ni rasmi kuwa sasa uislamu unatumiwa na maadui wa taifa na maadui wa haki na maadui wa uzalendo na maadui wa wazalendo ...NDIYO MAANA MAFISADI WANAOGOPA SANA WASIO WAISLAMU...KUSHIKA NCHI...NANI SEME TU , HOFU YAO NI HOFU YA KWELI KWA SABABU KWA HAYA YALIYO TOKEA WAOVU WOTE WANAOUA WAZALENDO MWISHO WAO UTAKUWA MBAYA TU. TENA NDANI YA MUDA MFUPI SANA.
 
Ukimuangalia sura tu inajieleza.
 
Kwa hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…