Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Tafuta uzushi mwingine huyo tunamfahamu fika
 
kuna kosa gani kuzaliwa na mama mpemba manake nyie wanaharakati mna hila, huyu aliye mix ndio anafaa zaidi manake utanzania wake ni wa damu na sio udongo.
 
Huyu ni mzanzibar kweli.
Tutegemee full control ya wazanzibar na waarabu, JK ametukosea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…