Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

ACHA MZANZIBARI , HATA ANGEKUWA MRUNDI , SISI TUNAMTAKA.
 
Siku hazigandi vumilieni.
bado miezi 40 tu tuingie awamu ya 7th.
Lakini hata kama ni uzanzibar, hauna nguvu.
Hapana huyu hana uzanzibar huyu ni mzungu mwenzio.
Sina tatizo naye..
Maana hafiki kokote.
Ni cheo cha kuonja tu baadaye wanapiga chini kama Biteko.
Hata Maria Sarungi na Yeye sio mjaluo sasa kama ndivyo.
Baba yake ni luo
Mama nasikia Finland.
 
Aisee kumbe mama akiwa mzaliwa wa Zanzibar alafu baba wa Tanzania bara(Tanganyika) basi wewe mtoto sio Mtanzania..Ahsante kwa elimu.Nimechungulia elimu yake amesomea huko Ughaibuni. Ila mshua si alikua mwenyekiti wa CCM miaka 20 hapo Dodoma.
 
na maanisha hako kamalaya kanaweza kutunga ujingaujinga halafu mibongo ilivyo mizwazwa inaamini pasi na shaka
leta napa ushahidi kuwa ni mpemba ?
usiokote tu upupu umeandikwa na waganga njaa
Huwezi kumtukana mtu malaya wakati hata uchi wake hujui unafananaje kisa tu ametoa maoni yanayokinzana na ya kwako.

Ni kweli kwamba kuna shule zingine za kidini zinafundisha watoto mafundisho ya kijinga sana na baadaye hao watoto huendelea na ujinga huo hata ukubwani.

It's very pathetic.
 
Weka picha
 
Kama hizi shule

 
Huo mwonekano wake tu unamuonesha ni Mpemba! Na pia hajafika umri wa miaka 43! Huu ni utapeli wa wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…