Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Chawa
 
Sawa tunaangalia ubini wa baba ni wa wapi
Uraia wa mama ndiyo huwa unaangaliwa, baba anaweza kubambikiwa. Loyalty itakuwa wapi? The so supposedly father alifariki, dogo kalelewa na mama Mpemba na amekuwa raia wa Uingereza na bado hao takataka TISS/UVCCM mnadhani kuna hata mmoja mwenye akili, maadili, uzalendo na nia ya dhati kwa nchi na wananchi.
 
Siamini.

Sababu Baba yake Pancras John Ndejembi , alikuwa mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dodoma.

Na sikuona uislam hapo kwao, uzunguni Dodoma.
 
hilo la UISLAM sidhani maana watoto wake walisimamiwa Ubatizo na Antony Mavunde pale kanisani RC Dodoma,na tangu wakiwa wadogo yeye na Mavunde walikuwa wakitumikia Misa Kanisani,sasa kama amebadili Dini ukubwani sina uhakika
 
Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Hapana.
Tumefika hapa tulipo leo kwa kufunikafunika mambo kinafiki. Hii ndiyo njia wanayoitumia sana hao wanaopiga kelele za "udini" kutishia wengine huku wao wakijiimarisha kwa udini huo huo.
Kama tunataka kuweka maslahi ya taifa hili mbele ni lazima tuachane na ulaghai huu, utatumaliza.

Kama hayo yanayosemwa ni ya kweli, basi ni muhimu kuyaweka wazi kabisa watu wayajue; kuliko kufichana na kuchimbana kimya kimya huku tukizidi kufarakana kama taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…