Huyo ni popo. Si mnyama wala sio ndege. Hawezi kuaminiwa na upande wowote.hv kwani mtu anafuata asili yake kwa baba au kwa mama!? isitoshe mazingira aliyelelewa mtu ndio huakisi kiasi kikubwa asili yake,itoshe kusema Deo ni Mtanzania na ana haki ya kupata ugombea,uteuzi au nafasi yeyote,siku zote mbona hayakusemwa haya kwani ameshahudumu nafasi nyingi za utumishi wa umma
Wanasema ana 39!Ila mtoto si anachukua kabila la baba.
Kigezo Cha uzanzibar ni batili.
Kwa umri ndejembi anaonekana mkubwa kusema hajafika 40.mnanipa mashaka.
Matrilineal societies vs patrilineal societies. Hapa Tanzania tukifundishwa kuwa makabila ya kusini mwa Tanzania mengi ni matrilinieal. Mtoto akizaliwa kutoka na Nyumba Nthobo pale Tarime anafuata ukoo wa mama. Kwa hiyo, hakuna jibu la moja kwa moja, mtoto anafuata asili kwa baba au mama. Labda swali liwe, Ndejembi anafuata asili kwa baba au kwa mama?hv kwani mtu anafuata asili yake kwa baba au kwa mama!? isitoshe mazingira aliyelelewa mtu ndio huakisi kiasi kikubwa asili yake,itoshe kusema Deo ni Mtanzania na ana haki ya kupata ugombea,uteuzi au nafasi yeyote,siku zote mbona hayakusemwa haya kwani ameshahudumu nafasi nyingi za utumishi wa umma
Machawa mna shida mahali
Kwahiyyo akiandika huyo ndio mnameza mazima, kweli nyumbu mna akili kisoda
Tayari umesha kilo kuwa ni mpumbavu ...kwa kudhani kuwa kipimp cha mtu kuwa siyp mpumbavi ni elimu pesa au umashuguri ....kati ya jizo sifa hakuna hata moja inayp mfanya mtu asiwe mpumbavu ....mtu mpumbavu ni mtu mwenye akili finyu anayo itumia kimaisha tena qkijidhani ni mwenye akili kubwaMimi msikitini naenda, ila nimekuzidi elimu, uwezo wa kimaisha na familia , exposure ya dunia, na hela pia nimekuzidi
Sasa mimi na wewe nani mpumbavu?
Kwa qkili hizo ni bora upewe yuzo la upumbavu maana unakipajoi cha upumbavuUpumbavu namba moja ni kukosa hata uwenyekiti wa mtaa
Doctor manyau nyau haujambo ...UPUMBAVU SIYO KUKOSA UWENYEKITI ...WAPUMBAVU WAPO HADI IKULU...WANAKULA NA KUNYA BILA YA FAIDA KWA PESA YAKO MTANGANYIKA..😁Wangekuwa wapumbavu kama wewe,uliokosa hata mwenyekiti wa mtaa,uko uko tu,huo ndio upumbavu
Uongo wa hivi ni kujidhalilisha tu‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
hv kwani mtu anafuata asili yake kwa baba au kwa mama!? isitoshe mazingira aliyelelewa mtu ndio huakisi kiasi kikubwa asili yake,itoshe kusema Deo ni Mtanzania na ana haki ya kupata ugombea,uteuzi au nafasi yeyote,siku zote mbona hayakusemwa haya kwani ameshahudumu nafasi nyingi za utumishi wa umma
Ubaguzi hauishii kwenye utaifa tu, au ukanda tu, itakuja udini nkIla hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Kwahiyo kupelekwa na Mama basi huyo ni Mzanzibar...ebu tujadili vitu vya maana daahHuna akili. Anaweza akawa na ubini wa Ndejembi ila itikadi zikawa upande wa mama. Uingereza alipelekwa na mama yake. Na waliishi pamoja.