Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado.

Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na anakaribia kuolewa.

Huyu mwamba aliyemvalisha Mariam pete ni miongoni mwa wanadamu wenye ujasiri mkubwa sana kuwahi kutokea katika uso wa dunia.

Niwatakie ndoa njema kwa wawili hao.
 
Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado.

Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na anakaribia kuolewa...
Kaka hongera sana kazi kwako Sasa maana huyo Rafiki yangu ni Mchezaji Mzur wa Miguu yote[emoji120][emoji120][emoji120]

Aljniambia Majuzi tukiwa Pale Magomen nikajua ananitania kumbe yupo Serious anaolewa.

Hongera Shoga Mpe mpk atulie Mjn hapa..
 
Kizuri tutakula naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…