Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado.

Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na anakaribia kuolewa.

Huyu mwamba aliyemvalisha Mariam pete ni miongoni mwa wanadamu wenye ujasiri mkubwa sana kuwahi kutokea katika uso wa dunia.

Niwatakie ndoa njema kwa wawili hao.View attachment 2778121
jasiri amenasa au amenaswaaa?
 
Kila la heri kwao
 
Back
Top Bottom