Mariam Ditopile amlipua Lema, amtaka ajitokeze kuomba radhi

Anatafuta mme au hafikishwi na mme wake, hatampata lema maana hachukuagi mashangingi ya ccm.
 
VICOBA = Village Community Bank.

Ndivyo ilivyo??
Kama tafsiri ya vicoba ni hiyo basi acha Lema ainange tu kwa sababu;

1. Vikoba havipo vijijini bali vipo mjini, zingatia kuwa kumbe fedha hiyo ililengwa kupelekwa vijijini na hao akina Ditopile hawapo vijijini bali anaongea hapa akiwa mjini.

Je hii siyo namna nyingine ya kuchepusha matumizi halali ya fedha zilizojadiliwa bungeni kama alivyodai Ditopile? Kwa maana hii huu nao ni ubadhilifu mwingine

2. Lema kusema vicoba ni umasikini wala hajakosea hata kidogo ni kweli kuwa na vicoba ni umasikini na Ndiyo maana vilielekezwa vijijini,

Sasa hapo Lema amewadharau kwa lipi? kwamba tuseme sasa vicoba vimeshawafanya watu ama wa vijijini au wa mjini kuwa matajiri? Huyu Ditopile aache kudandia hoja bila kutafakari.
 
Shughulikia maswala na matatizo ya Wananchi walio wengi mama weeh!
Ya LEMA hutayaweza! Wengine wanajielewa hii ndio ukweli.
Ndoa za watu zinavunjika na kuuana kisa VIKOBA, waathirika Wakuu wakiwa kina Wenzio mbele yako.
Unawasaidiaje?!
Tafakari acha kupopoma! Ni ukweli huo.
 
Wabunge wa viti maalumu ndio maana wanaonekana ni wa vitu maalumu huyo pimbi amejifanyia evaluation na kujiridhisha kwamba ana ubavu wa kupambana na Mh Lema kwa hoja?Mpaka hapo alipo hajui kuna wanawake wamepewa talaka na waume zao baada ya kukopa kwenye vicoba hivyo na kushindwa kulipa kutokana na mazingira magumu ya kuizungusha hiyo hela halafu wanakikundi wakaondoka na godoro mashuka vitanda na vyombo vingine vya ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…