Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

Kwani Biashara Ya Kununua Wabunge Bado Ipo
Huenda Hicho Wanachosisitiza Labda, Membe,Cheyo, Lipumba, Na Wengine Wanarudi Ccm !!

Kila Mtu Anasisitiza Tegeni Sikio, Tutasikiliza Tokea Wapi
Hao labda sema ndiyo watatangazwa rasmi.

Lkn hao ni wana ccm na wanaitumikia ccm muda wote.
 
Wewe toka usingizini hii ni awamu ya 6.

Hakuna mtanzania anaikumbuka awamu ya 5.
 
Ccm ndiyo nyumbani kwa mafisadi.
 
Tangazo limeshatoka ITV
Tangazo la kumsikiliza mama wa kambo, ana jipya lipi? Mbona huenda Ushetu kwenye kampeni? Watu wamepuuza hilo zoezi la kihuni liitwalo uchaguzi, matokeo yake hakuna hamasa yoyote kwenye huo utoto.
 
Mbunge hana Jimbo ulitegemea asemeje na Jimbo lake anatembea nalo!
 
Uyo mama yenu hana jipya ameongeza ugumu wa maisha kwa watanzania, kiufupi hatuna raisi tumepigwaa
 
Aongee jambo lolote lile, lakini ikikosekana kauli ya kumwachia huru Freeman Mbowe basi hataweza kuzikonga roho za wapenda mabadiliko walioukuwa wengi. Pengine amekwisha kutambua ukweli uliopo nyuma ya kesi ile ya ugaidi wa laki sita.

Kupandishwa ghafla cheo kwa jaji anayelisikiiliza shauri hilo la kisheria inaweza kuwa kiashiria kimojawapo. Lakini nchi wahisani, ambazo kupitia balozi zao walidhihirisha wazi kuwa na shahuku juu ya shauri hili, baadhi yao tayari zimeanza kumimina misaada iliyokuwa imekoma katika kipindi cha utawala wa JPM.

Madam President SSH do it now before it becomes too late. Siro na Diwani tupa kule kwa kuwa walikushauri na kukuaminisha vibaya katika suala hili.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Uyo mama yenu hana jipya ameongeza ugumu wa maisha kwa watanzania, kiufupi hatuna raisi tumepigwaa
10 tena maana tunatekeleza na kazi iendeleee .

Jana tumeingiza midege mingine tena kwa keeeshiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…