😍Macho na Masikio Tuyaelekeze Makao Makuu ya Nchi Dodoma
10 Oktoba, 2021.
Tunasonga Mbele kwa Juhudi na Maarifa.
#SamiaKazini #KaziIendelee
😍Macho na Masikio Tuyaelekeze Makao Makuu ya Nchi Dodoma
10 Oktoba, 2021.
Tunasonga Mbele kwa Juhudi na Maarifa.
#SamiaKazini #KaziIendelee
Wewe jamaa si bure.....Kiazi mbatata👇😁😁😁
View attachment 1969111
Kutakuwa na mtifuano ccm.Mama ana jipya gani? Apunguze jazba na mihemko yake.....maana wanaume tunakoma mipasho na kufpkea kiupole lakini........
Aliyechora hii sura hajamtendea haki mazaKiazi mbatata👇😁😁😁
View attachment 1969111
Kuna nini?Macho na Masikio Tuyaelekeze Makao Makuu ya Nchi Dodoma
10 Oktoba, 2021.
Tunasonga Mbele kwa Juhudi na Maarifa.
#SamiaKazini #KaziIendelee
CCM wanavyoiba kura wanawatendea haki Watanzania?👇Aliyechora hii sura hajamtendea haki maza
OhooCCM wanavyoiba kura wanawatendea haki Watanzania?👇
View attachment 1969117
Wenye matatizo makubwa ya kisaikolojia ni hawa CCM wanaoiba kura mchana kweupe👇😁😁😁Wewe jamaa si bure.....
Utakuwa na matatizo makubwa ya kisaikolojia............
Is it PTSD 2 ° to CHILDHOOD ABUSE?!!!
ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
#KaziInaendelea
#SiempreSSH
Mimi simuonei mtu.Nawaita kuwa ni viazi mbatata kutokana na matendo yao ovu ya kunyang'anya watanzania haki zao za kidemokrasia za kuchagua viongozi wanaowataka.Ohoo
Mliitengeneza "MOVIE" ya kura feki nchi nzima.....nani asiyejua?!!!Wenye matatizo makubwa ya kisaikolojia ni hawa CCM wanaoiba kura mchana kweupe👇😁😁😁
View attachment 1969122
Ndio nchi yetu ilipofikia hapa, cha msingi ni kila mtu akomae apambane na hali yake asife njaa maana hamna wa kumtegemeaMimi simuonei mtu.Nawaita kuwa ni viazi mbatata kutokana na matendo yao ovu ya kunyang'anya watanzania haki zao za kidemokrasia za kuchagua viongozi wanaowataka.
Undugu wako usikutoe ufahamu.Mliitengeneza "MOVIE" ya kura feki nchi nzima.....nani asiyejua?!!!
Mliuratibu mtandao koko nchi nzima.....nani asiyejua?!!!
Una matatizo ya KISAIKOLOJIA wewe......