Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

Ndo binti wa Ditopile Mzuzuri
Huu ndiyo ujinga wa hawa maccm.
Ukienda Tbc huko ndiyo utakuta uozo mtupu.

Kuanzia wajukuu hadi vitukuu wa watangazaji wa zamani wamejazana.

Ukiingia bungeni ndiyo balaa kabisa watoto,wake za wabunge na wajuukuu wa wabunge wastaafu wamejazana huko kisa ni kada wa ccm.
 

Chief mbona hata kule CDM ni hivyo hivyo....hii inaonekana ndio tabia ya watanzania, undugunization..
 
Chief mbona hata kule CDM ni hivyo hivyo....hii inaonekana ndio tabia ya watanzania, undugunization..
Kwahiyo kosa la jirani yako ndiyo linakufanya ufanye makosa mengine?
 
Amejumuika na mafisi wenzie
 
Kwa hiyo ndg.Mariam Ditopile hastahili kuwa mwanasiasa kwa kuwa baba yake alikuwa mwanasiasa?!!!

Akili za wapi hizi?!!! Khaaa😳😳😳

Watoto huathirika na shughuli wafanyazo baba na mama zao.....

#SiempreJMT
 
Kwa hiyo ndg.Mariam Ditopile hastahili kuwa mwanasiasa kwa kuwa baba yake alikuwa mwanasiasa?!!!

Akili za wapi hizi?!!! Khaaa[emoji15][emoji15][emoji15]

Watoto huathirika na shughuli wafanyazo baba na mama zao.....

#SiempreJMT
Hongera da sofy
 
Hongera Sofy nasikia umeukwaa u rc shinyanga
Asubuhi yote hii unaanza KUNIDHIHAKI kwa maneno ya hovyo.... Khaaa 😳😳

Wewe jamaa utakuwa una matatizo makubwa ya kisaikolojia...."probably una PTSD" ama "DELUDED" kabisa🤣🤣
 
Yaani nawewe ni kihoja .
Umeamua kukopi kila kitu kutoka kwa mleta thread.
Wala si kihoja kama unavyodhani. Labda utakuwa mgeni hapa JF.
Threads zikifanana, uunganishwa na kuwa moja.
Pole!
 
Yaani nawewe ni kihoja .
Umeamua kukopi kila kitu kutoka kwa mleta thread.
Nilidhani labda ni thread zimeunganishwa maana si yeye peke yake bali nimeona kama watAtu wengine!
 
Nilidhani labda ni thread zimeunganishwa maana si yeye peke yake bali nimeona kama watAtu wengine!
Hata mimi nimeziona ndiyo nikaamua kulisemea hilo angalau kupitia kwa mmojawao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…