Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

Mama ana jipya gani? Apunguze jazba na mihemko yake.....maana wanaume tunakoma mipasho na kufpkea kiupole lakini........
 
Mama apunguze kimuhemuhe na imani anahabari njema kwa waajira wanyonge 😊
 
Wenye matatizo makubwa ya kisaikolojia ni hawa CCM wanaoiba kura mchana kweupeπŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi simuonei mtu.Nawaita kuwa ni viazi mbatata kutokana na matendo yao ovu ya kunyang'anya watanzania haki zao za kidemokrasia za kuchagua viongozi wanaowataka.
Ndio nchi yetu ilipofikia hapa, cha msingi ni kila mtu akomae apambane na hali yake asife njaa maana hamna wa kumtegemea
 
Mliitengeneza "MOVIE" ya kura feki nchi nzima.....nani asiyejua?!!!

Mliuratibu mtandao koko nchi nzima.....nani asiyejua?!!!

Una matatizo ya KISAIKOLOJIA wewe......
Undugu wako usikutoe ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…