Mariam Uswazi: Ikitokea nimekufa kisa albadiri mtajiskiaje?

Mariam Uswazi: Ikitokea nimekufa kisa albadiri mtajiskiaje?

Yaani mambo ya michezo yenu wanawake ndio unasema story kubwa Tanzania.!

Anyway, upatu ni ponzi scheme
I second you Kigogo......... Mtu unashindwa kujiamini kutunza pesa zako then unamwini mtu akutunzie pesa zako kweli? Wabongo bana wanapoor financial Management sana
 
Back
Top Bottom