mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
'Wakitumaliza Sisi watauana wenyewe' Tundu Lissu.Ccm wanakulana wao kwa wao Sasa ✌️✌️✌️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Wakitumaliza Sisi watauana wenyewe' Tundu Lissu.Ccm wanakulana wao kwa wao Sasa ✌️✌️✌️
Mkuu unajua wewe ni wakili na legend tunaye kutegemea kwenye nondo za hoja humu ndani. Nashangaa unaendeleza upotoshaji wa majukumu ya mbunge? Common on Paskal unamuonea mbunge wa watu!Sio vibaya ukisema toka achaguliwe, ameifanyia nini Kondoa?.
P
Akashitaki Takukuru ipi, hii hii ya Wala rushwa? Utashangaa akienda kushitaki Takukuru wanahitaji rushwa ili wachunguze, kisha wanaenda kuvuta rushwa kwa anayetuhumiwa. Hakuna taasisi ya kipuuzi kama hiyo takukuru.Unajaribu kuomba huruma mitandaoni?
Unajaribu kuonyesha woga wako uchaguzi ujao 2025?
Unajaribu kuficha uwezo wako mdogo wa kutatua kero za wananchi wa Jimbo lako kwa kumchafua ambaye anajiimarisha kugombea uchaguzi ujao?
Hoja dhaifu sana umeianzisha kabla ya uchaguzi. Ushauri kwako Katibu wa mbunge wa huko kwenu; ikiwa mnao ushahidi wa hayo matumizi binafsi ya mtu kua anahonga/takirima, fikeni TAKUKURU mshitaki na kwa Mwenyekiti wa chama chenu wilaya na mkoa.
Pia wakati mmeshitaki nanyi anzisheni mbinu za kujiwinda na uchaguzi ujao kwa kuwasaidia wahitaji hapo jimboni kwenu.
Kutoa Msaada hadharani inakuaje Rushwa? Wewe kama umekalia.kuti kavu pisha watu usituchoshe.Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.
kila anapotoa misaada hiyo ni lazime amtaje Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as if ndiye anayemtuma.
Hili Jambo limefanya watu makini wajiulize maswali mengi bila majibu kwani vyombo vinavyopambana na rushwa na utawala Bora kama vile Takukuru havijawahi hata siku moja kumkamata au hata kumwita kwa mahojiano.
kwa kifupi ndani ya CCM kwa nchi nzima huyu ndiye kinara wa wasaka ubunge hasa ukitathmini nguvu ya pesa anayotumia.
Hii imemfanya Mbunge dhaifu wa Jimbo Hilo Ndugu Ally Makoa aonekane bwege.
Tutaendelea kutoa taarifa za Mhe huyu kila mara kwani mambo anayofanya ni ya ajabu yanayopaswa kukemewa na wanamaendeleo na watu waadilifu wa Taifa hili.
Hatupaswi kuendelea kuwaacha watu wachafu wa sampuli hii waendelee kunajisi taifa.huko ni kukosa uzalendo
🙄🤔Akashitaki Takukuru ipi, hii hii ya Wala rushwa? Utashangaa akienda kushitaki Takukuru wanahitaji rushwa ili wachunguze, kisha wanaenda kuvuta rushwa kwa anayetuhumiwa. Hakuna taasisi ya kipuuzi kama hiyo takukuru.
Bongo hakuna tofauti kati ya msomi na ambaye Hana elimu kabisa. Majukumu ya mbunge unaweza kuuliza kalifanyia Nini Jimbo lake? Mbunge ni mkurugenzi wa maendeleo?Sio vibaya ukisema toka achaguliwe, ameifanyia nini Kondoa?.
P
Namuonea kivipi?, ila kiukweli wabunge wa Dodoma ni majanga, angalia huyu Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!Mkuu unajua wewe ni wakili na legend tunaye kutegemea kwa nondo za hoja humu ndani. Nashangaa unaendeleza upotoshaji wa majukumu ya mbunge? Common on Paskal unamuonea mbunge wa watu!
NO nooo Paskal usipotoshe majukumu ya mbunge, hivi ungechaguliwa ubunge Kawe ungeleta maendeleo kwa fedha yako? Tuambie tujue leo, au ulidhamiria kuwaongopea wana kawe!Namuonea kivipi?, ila kiukweli wabunge wa Dodoma ni majanga, angalia huyu Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!
P
NO nooo Paskal usipotoshe majukumu ya mbunge, hivi ungechaguliwa ubunge Kawe ungeleta maendeleo kwa fedha yako? Tuambie tujue leo, au ulidhamiria kuwaongopea wana kawe!
Mkuu tumia elimu, uzoefu na nafasi yako kuelimisha jamii. Usiendeleze upotoshaji!
Unafahamu vizuri kuwa sio jukumu la mbunge kutatua kero za jimbo lake au kuleta maendeleo kwa sababu hana fungu la bajeti la kufanya hayo!
Ila unafanya makusudi!
Yalinikuta.sina hamu na hao mashetaniAkashitaki Takukuru ipi, hii hii ya Wala rushwa? Utashangaa akienda kushitaki Takukuru wanahitaji rushwa ili wachunguze, kisha wanaenda kuvuta rushwa kwa anayetuhumiwa. Hakuna taasisi ya kipuuzi kama hiyo takukuru.
Pole sana mkuu!Yalinikuta.sina hamu na hao mashetani
Mkuu unaenda kupeleka mashitaka unapeleka na ushahidi.unaambiwa kwahiyo tunafanyaje?Pole sana mkuu!
Mtamu vibaya mnoo hasa akikupitisha Hanang utafurahia utalii wa huko!!Huyu si ana skendo ya PAPA??
Ally lazima apigwe chini. Wakondoa hawajaona alichokifanya walakumsikia akiongea chochote.Watajuana wenyewe huko
Ova
Hebu fungua code.Huyu si ana skendo ya PAPA??
Code iko wazi mkuu changamsha huo ubongo 😊Hebu fungua code.
Kuna papa kipapa na papa mkatoliki
Yeye kama anaweza hata kuzunguka Tanzania nzima azunguke tu kutoa hiyo misaada.Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.