Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

Aisee umeongea ujinga mkubwa wa kufungulia mwaka. By the way. Ada mnalipa bei gan mkuu
 

Hiyo ndo vizuri vijana wajifunze na kujitegemea

Kuna kijana kaenda Marian boys, karudi amekonda kimebaki kichwa tu.

Alikuwa bonge nyanya, now kanyooka swafi kabisa.
 
Kipindi naoneshwa hiyo shule mazingira yalikuwa hayaridhishi kabisa sijui sasa hivi
Zamani majengo yalikuwa kama mabanda ya kuku yaliyojengwa na matofali na kuezekwa na bati. sasa kuna maghorofa...nenda Boys hata girls...nimesomesha watoto wangu 3 pale chekechea mpaka form six wote. napafahamu vizuri!
 
Kama unataka asafishiwe mpk vyupi vyake huyo mwanao uliyetelekezewa na unamlea kama yai mpeleke Feza Schools wanakolipa ada milioni 10 na kuendelea.

Siyo hivyo visenti unavyolipa hapo Marian . By the way umelazimishwa kumpeleka mtoto wako Marian? Hukuziona shule za kwenye kata yako hapo??
 
Zamani majengo yalikuwa kama mabanda ya kuku yaliyojengwa na matofali na kuezekwa na bati. sasa kuna maghorofa...nenda Boys hata girls...nimesomesha watoto wangu 3 pale chekechea mpaka form six wote. napafahamu vizuri!
Yap hayo mabanda ndio nilikuwa nayajua mm kama pamebadilika basi 👍
 
Nimesomea Marian, Ile shule wamenifanya niape nikiingia mtaani nisile maharage . Yani mnakula maharage mchana na jioni mwaka mzima ? Ile shule ni wabahili balaa. Ada haiendani na services za pale . Wali una chuya za kutosha. Yani utafikiri mnalipa milioni Moja. Bado mnachangishwa laki laki Kwa ajili ya kusupport walimu. [emoji706][emoji706]. But Kwa elimu wako poa.
 
Ada ya huko bei gan? Mbona hamsemi? Ninavyofahamu mm shule nyingi ada zake hazivuki 4M. Sasa hiyo 4M ndiyo ulitaka ulishwe kama upo hotelini? Unajua Kuna Kodi na tozo kiasi gani kwenye haya mashule?

Umewahi kumiliki hata chekechea wewe?

Kama vipi ungeenda kusoma Feza Schools ambako ada inaanzia 10M na kuendelea ndiyo ungefaidi.
 
Mnatakiwa mpewe balanced diet, nyama kidogo, samaki, maharage bila kusahau mboga za majani na matunda......nyinyi ni watoto bado mnakua mwili na ubongo, lishe si jambo la kuchukulia poa. Wanaweza kujikuta wanatumia msuli mkubwa sana kuwafanya watoto waelewe kumbe wamefeli wenyewe kwenye kutoa lishe sahihi.​
 

Bila shaka ndiyo hoja iliyoletwa. Unapolipa ada kubwa ni pamoja na hudumu nyingine kuboreshwa.

Skills za maisha hakuna asiyeta mtoto azipate, kama shule iwe na utaratibu wa kuwajengea uwezo wanafunzi.
 

Japan watoto wa primary wanasafisha vyoo vyao. Sembuse marian watoto wa sekondari
 
Hii ya bagamoyo Binti wa ndugu yangu form 3 kusonga ugali hajui🙌
 
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…