- Thread starter
- #61
Ft. Bayo hana shida ila kuna mtu mmoja tu ndiye anayeihujumu Marian hadi inazidi kuporomoka katika rank za shule bora. suala la uchafu wa vyoo na wanavyolazimishwa kufanya usafi wao wenyewe ilibidi nimpeleke shule nyingine ambayo wapo serious na Usalama wa Afya za wanafunzi.Naona unamsema mtu ila unashindwa kutaja jina. Basi kalalamike kwa Fr. BAYO.
Kwanini St Francis ya Mbeya wawe wasafi sana na chakula kizuri, kwanini Precious Blood au Maria goret ziwe vizuri kwa Milo na usafi.
Watoto wa Marian kila wanaporudi ni kutibu UTI tu. Yaani ada inayolipwa na wazazi ni zaidi ya mara 3 ya shule zingine halafu mnashindwa kuajiri watu wa usafi. Hopeless