Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya?

Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa.

Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo itawawajibisha mafisadi wa CCM ambao kila siku wanawaibia Watanzania ni ubatili.
 
Back
Top Bottom