Maridhiano hayo mnayoyaandaa ni kati ya nani na nani?

Maridhiano hayo mnayoyaandaa ni kati ya nani na nani?

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Kama maridhiano yatakuwa kati ya nyie vyama vya siasa basi mfahamu mtafanya kazi bure.Maridhiano ya kweli ni kushugulikia mambo ambayo wananchi wanayataka kama kukomesha ufisadi,uongozi bora,kukomesha utekaji na kurudishwa waliotekwa,kuwajibishwa kwa wauaji Nk.

Maridhiano ya kweli yatapatikana kama wananchi wataridhika lakini kama wananchi wakiendelea kunungunika mioyoni mwao basi itakuwa ni rahisi tena kuwashawishi kuandamana. 'Kazi kwenu kujenga au kubomoa'
 
Wananchi wanawakilishwa na wanasiasa. Kwa hiyo kwa namna yoyote tunatarajia wanasiasa wakae kuzungumza.

Kazi yetu sisi wananchi ni kupeleka hoja zetu kwa wanasiasa ili wazizingatie wakati wa kuridhiana.

Nadhani cha msingi sasa hivi ni katiba mpya, kurekebisha sheria za uchaguzi na kufanya uchaguzi upya. Baada ya hapo ndo tutarajia uongozi bora ambao utatatua kero za wananchi. N
 
Screenshot_20260105-085755~2.png
 
Back
Top Bottom