Hujanitendea haki, mimi nauliza swali kama wewe unalo jibu hayo matusi ya nini sasa?Kuna watu na chama chako cha Chadema baada ya kuona mambo hayaendi ndio wanazua mambo eti kuwepo maridhiano. CCM imepigiwa kura nikiwemo mimi na watu zaidi ya asilimia tisini ya wapiga kura. Unasemaje watu wanataka maridhiano nchi haiendi?
Leo ukitangaza Watanzania wanaotaka maridhiano waende mfano uwanja wa CCM Kirumba, hawatazidi watano! Halafu eti mtu anasema nchi inahitaji maridhiano! Pumbavu!!
Gentleman,Nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa sana.
Maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana baina ya nani na nani?"
Serikali haielewani na Wananchi?, ni baina ya Dola na Wananchi? ni Vyama vya siasa? Au tunataka kuridhiana juu ya kitu gani na kwa nini? Wadau wa maridhiano haya wanatokana na tatizo gani?
Maana tumewahi kuona maridhiano baina ya CCM na Chadema na wakawekeana masharti. Pia majuzi tu kulikuwa na maridhiano ya Serikali ya Zanzibar wanajua wao hoja na madai yalokuwepo.
Hata maridhiano baina ya Marekani na Iran ni kwa sababu kuna vita baina yao ili kupata suluhu wanawekeana masharti.
Sisi Tanzania tunataka maridhiano ya Kitaifa kufuatia nini na kwa matumaini gani? Kuna jambo au mgogoro gani unaohitaji maridhiano baina ya wahusika? Mimi sielewi naomba kuelimishwa.
Maasalaam
Kwa hiyo maridhiano yanahusiana na mauaji ya October 29? Yatawahusu kina nani haswa!..Ccm na Mama wanajaribu kujisafisha na lawama za mauaji yaliyotokea OCT 29.
..Tume ya Jaji Chande imesema waliowawa ni 518 na baadhi yao ni WATOTO.
Bado sijaelewa mkuu, Kama Maridhiano ya Kitaifa yatahusu Katiba Mpya na wadau ni sisi sote unadhani litawezeshwa vipi yaani?Gentleman,
maridhiano ya hiyari ya kitaifa miongoni mwa waTanzania wote, yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya ya waTanzania wote. Full stop.π
Nimekusoma lakini wanasema kuwa huo muswada unaandikwa kwa mujibu wa pande mbili, hizo pande ni zipi?Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano nchini.Kwa Unyenyekevu ninaleta kwenu Rasimu hiyo kwa mjadala na kutoa maoni ili kufanyia maboresho.
ODERO CHARLES ODERO
MWENYEKITI -KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA (KKMK)
MBELE KUNA MWANGA
- Odero Charles Oderos
- bill kuongoza maridhiano mchakato mfano muswada sheria
- Replies: 17
- Forum: Jukwaa la Siasa
my friends, ladies and gentlemen,Bado sijaelewakuu, Kama Maridhiano ya Kitaifa yatahusu Katiba Mpya na wadau ni sisi sote unadhani litawezeshwa vipi yaani?
Najaribu kufikiri kama hojanni Katiba Mpya tunaanzia maridhiano baina ya nani na nani maana Serikali haiwezi wafikia wananchi wote
Hizo pande mbili ni zipi? Na kulitokea nini? Sijui kama mnanielewa!Maridhiano ni hali ya kufikia makubaliano, maelewano, au suluhu kati ya pande mbili au zaidi zilizokuwa na mivutano, tofauti za kimaoni, au migogoro. Kwa Kiingereza, neno hili hutafsiriwa kama reconciliation au compromise.
Tutaridhiana mchakato wa Katiba Mpya kutokana na kutoelewana pande mbili yaani wanaopinga na wanaotaka Katiba Mpya?my friends, ladies and gentlemen,
kuna baadhi ya wadau wa Jf wamepumbazwa au kupitoshwa na dhana potofu ya kwamba, eti maridhiano ya hiyari ya kitaifa miongoni mwa waTanzania, eti sijui yanalenga kutibu sijui nini huko wanajua wao wenyewe kadiri wanavyopotoshana,
but ukweli ni huu,
na chukua hii na uishi nayo,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya ya waTanzania wote na si vinginevyo. Maelezo zaidi au tofauti na hayo itakua ni porojo tu gentleman π
Hujajibu swali chawa mjinga.Gentleman,
maridhiano ya hiyari ya kitaifa miongoni mwa waTanzania wote, yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya ya waTanzania wote. Full stop.π
Gentleman,Hujajibu swali chawa mjinga.
Maridhiano ya hiyari kati ya nani na nani?
Akina nani wanaridhiana? Zanzibar wameridhiana CCM na CCM B or sorry na ACT wazalendo. Huo uimara wa msingi kwani umetetereka?
Kwa hiyo maridhiano yanahusiana na mauaji ya October 29? Yatawahusu kina nani haswa!