Hayahusiani na wale walioandaa maandamano ya kuchoma vitu kupinga ushindi wenu halali wa asilimia 98?Gentleman,
narudia tena,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya ya waTanzania wote na si vinginevyo. Full stop 🐒
Na kawaida ya maridhiano, lazima kuwe na mkosaji na mkosewa.Daah kama hii ndio sababu mbona itakuwa shida kubwa maana navyojua CCM hawawezi kukubali walifanya makosa October 29. Na wananchi sidhani kama wapo tayari kukubali wao ndio wakosa!
Hayo maridhiano wataanzia wapi maanake? Kichwa kinaniuma...
Hapana mkuu ni ya kwangu miye, nimejaribu kuwaza sana juu ya haya maridhiano tena unaweza sema toka Polepole au kabla na baada yake walikuwa wakizungumzia maridhiano. Najiuliza hayo maridhiano yanatokana na kipi kilichotokea? Na Wadau ni kina nani?Mkuu haya maridhiano unayojaribu kutuuliza yana tofauti na Yale yaliyosemwa na Humphrey Polepole kabla hajapotezwa na wapotezaji?
Maana alisema kati ya mengi kuwa watanzania tusikubali maridhiano baada ya uchaguzi maana watafanya watakayofanya Ili kupata ushindi halafu tayari wameishatayarisha wazee wao kusimamia maridhiano baada ya uchaguzi.
Kabla mimi sijaendelea naomba uniweke wazi, inawezekana ikawa related na alichosema Polepole? Au hii ya kwako unaulizia kituo tofauti?
Shukran, umenielewa vema kabisa.Na kawaida ya maridhiano, lazima kuwe na mkosaji na mkosewa.
Nani ni mkosaji na je yupo tayari (huyo mkosaji) kukubali kukosa kwake, kutubu, kuomba radhi/msamaha na kuwajibika!!!?
Nani ni mkosewa na je yupo tayari (huyo mkosewa) kukubali kuwa alikosewa na ameombwa radhi na sasa amesamehe!!??
Maridhiano yanaweza hata ya kuuziana shamba.Hujanitendea haki, mimi nauliza swali kama wewe unalo jibu hayo matusi ya nini sasa?
Nambie maridhaino wanayozungumzia viongozi mpaka rais Samia ni maridhiano ya nani na nani na kwa lengo gani?
Daah kama hii ndio sababu mbona itakuwa shida kubwa maana navyojua CCM hawawezi kukubali walifanya makosa October 29. Na wananchi sidhani kama wapo tayari kukubali wao ndio wakosa!
Hayo maridhiano wataanzia wapi maanake? Kichwa kinaniuma...
Na kawaida ya maridhiano, lazima kuwe na mkosaji na mkosewa.
Nani ni mkosaji na je yupo tayari (huyo mkosaji) kukubali kukosa kwake, kutubu, kuomba radhi/msamaha na kuwajibika!!!?
Nani ni mkosewa na je yupo tayari (huyo mkosewa) kukubali kuwa alikosewa na ameombwa radhi na sasa amesamehe!!??
Gentleman,Hayahusiani na wale walioandaa maandamano ya kuchoma vitu kupinga ushindi wenu halali wa asilimia 98?
Mkuu kudeal na maccm inahitaji vitu vikubwa viwili, uwe juha Ili usitumie akili kufikiria kama machawa au uchanganyikiwa kama wewe.Hapana mkuu ni ya kwangu miye, nimejarobu kuwaza sana juu ya haya maridhiano tena unaweza sema toka Polepole au kabla na baada yake walikuwa walizungumzia maridhiano. Najiuliza hayo maridhiano yanatokana na kipi kilichotokea? Wadau ni kina nani?
Tena kama umeniongezea hoja, hata Polepole akisema maridhiano hayo ilikuwa baina ya kina nani? Hata aliposema "Msikubali maridhiano baada ya Uchaguzi". Kuna nini kilitokea hadi tuhitaji maridhiano ya pamoja kabla ya Uchaguzi? Yahusu Katiba Mpya? au kuna sababu nyingine ambazo mimi sizijui?
As united country, nimeipenda sana hii. It is as united as Samia and NchimbiGentleman,
dhana za iana hiyo zitafutiwe cha kufanya na wahusika wenyewe.
But as united country,
barabara ile tunaenda nayo kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya, nimeieleza kwa kina na kurudia rudia 🐒
As a country as it now,As united country, nimeipenda sana hii. It is as united as Samia and Nchimbi
Kuna watu na chama chako cha Chadema baada ya kuona mambo hayaendi ndio wanazua mambo eti kuwepo maridhiano. CCM imepigiwa kura nikiwemo mimi na watu zaidi ya asilimia tisini ya wapiga kura. Unasemaje watu wanataka maridhiano nchi haiendi?
Leo ukitangaza Watanzania wanaotaka maridhiano waende mfano uwanja wa CCM Kirumba, hawatazidi watano! Halafu eti mtu anasema nchi inahitaji maridhiano! Pumbavu!!
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu...
Aliyepata 98% anataka maridhiano na chadema ambao hawakupata kituNataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa sana.
Maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana baina ya nani na nani?"
Serikali haielewani na Wananchi?, ni baina ya Dola na Wananchi? ni Vyama vya siasa? Au tunataka kuridhiana juu ya kitu gani na kwa nini? Wadau wa maridhiano haya wanatokana na tatizo gani?
Maana tumewahi kuona maridhiano baina ya CCM na Chadema na wakawekeana masharti. Pia majuzi tu kulikuwa na maridhiano ya Serikali ya Zanzibar wanajua wao hoja na madai yalokuwepo.
Hata maridhiano baina ya Marekani na Iran ni kwa sababu kuna vita baina yao ili kupata suluhu wanawekeana masharti.
Sisi Tanzania tunataka maridhiano ya Kitaifa kufuatia nini na kwa matumaini gani? Kuna jambo au mgogoro gani unaohitaji maridhiano baina ya wahusika? Mimi sielewi naomba kuelimishwa.
Maasalaam
Sasa kama we are United Country? Maridhiano ya nini?As united country, nimeipenda sana hii. It is as united as Samia and Nchimbi
Mkuu kudeal na maccm inahitaji vitu vikubwa viwili, uwe juha Ili usitumie akili kufikiria kama machawa au uchanganyikiwa kama wewe.
Walijua itakuwa business as usual, watapora, wataiba uchaguzi halafu CHADEMA wakipiga kelele watalobby baadhi ya viongozi wa CHADEMA, watafanya mazungumzo kisha yatapita. Kilichoharibu ni mauaji ya 29 October, hawakutegemea watu watapata ujasiri. Wameua na Sasa wamepanick jinsi ya hili lipite maisha tuendelee.
Wewe unatumia akili kudeal na CCM kuwa juha kidogo utaelewa, mfano msome tlaahtlah
maridhiano ni msingi muhimu sana miongoni mwa waTanzania wa mirengo yote kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya gentleman.Sasa kama we are United Country? Maridhiano ya nini?
Hapo ndio nachanganyikiwa