PostGE2025 Kihongosi: Maridhiano bila Tundu Lissu inawezekana, CHADEMA njooni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!

"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.

"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM

Screenshot_20260817-124841~2.png
 
Kwani wao CHADEMA wameomba maridhiano?Mbona tunapotezeana muda kwa sentensi moja kila wakati/monotonous hivyo? CCM mje na vibe jipya sasa!
 
CCM hawaeleweki kabisa... Wao walikaa na vyama kadhaa huko wakajadiliana mambo yao wakasema CHADEMA si lazima wawepo... Kimetokea nini tena?

Hivi CCM hawajui kuwa ile kesi mahakamani ni ya mchongo?
Wanajua sana .ni kiburi cha kufa na ukaidi wa kukata roho..
CCM hawana pumuzi kwa CHADEMA na sasa wamekabidhi hatima yao kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama..Polisi,Jeshi nk.
 
Hao wapuuzi hawataki Lisu awepo kwenye maridhiano ya hadaa maana wanajua hatakubali usanii. Walizoea divede and rule, sasa imewawia ngumu. Wajue cdm hawataki maridhiano bali wanataka uwajibikaji kwa wauaji na katiba mpya.
 
Wakati Lissu anaomba muda uongezwe kwa mwaka Mmoja ili tuingie kwenye uchaguzi tumekubaliana hao CCM walimkebehi na Kuna wapinzani wakadai Lissu anafanya kazi ya CCM anataka CCM ikae madarakani. Mwisho wa siku yakatokea yaliyotokea Leo tunawalazimisha CHADEMA waingie kwenye Maridhiano wakati mliyakataa kabla.
 
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!

"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.

"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM

Nilijua tu... Atatenga muda kujibizana na Heche!
Hivi ccm wanataka maridhiano ya nini? Kwa ajili ya nani? Ili iweje?
Na hayo maridhiano yanaitishwa na nani? Lini? Wapi? Akina nani na nani wanahusika? Akina nani hawahusiki?
 
Kihongosi maridhiano fanyeni na mamluki wenu mlioenda nao kwenye uchaguzi wenu fake.
 
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!

"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.

"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM

si muende kwenye maridhiano na vyama vile vingine 18 CCM B mtuache sie kwanza tukinukishe Mahakamani hadi KATUGA aita maji mma
 
Hebu waseme kwanza waliwakosea nini hao wananchi wote.

Huwezi kusema unaenda kwenye maridhiano bila kujua mkosaji na aliyekosewa ni nani?

Na kwanini hii nguvu ya kusukuma maridhiano haikutumika mwaka jana watu walipoomba ?
 
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!

"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.

"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM

Apuuzwe
 
Anaongea kama amekatwa kichwa
 
Nilijua tu... Atatenga muda kujibizana na Heche!
Hivi ccm wanataka maridhiano ya nini? Kwa ajili ya nani? Ili iweje?
Na hayo maridhiano yanaitishwa na nani? Lini? Wapi? Akina nani na nani wanahusika? Akina nani hawahusiki?
Hayo maridhiano a.k.a utapeli utasimamiwa na ccm, na yatakuwa ni maridhiano ya kumpa Samia uhalali wa kukaa madarakani, kisha 2030 wanapora tena uchaguzi, halafu yanaitishwa tena maridhiano mengine.
 
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!

"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.

"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM

Mbona anapayuka na kurukaruka sana huyiu dogo
 
Back
Top Bottom