Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hili linaeleweka... Yale mauzauza yanawahusu wao.Ccm hawataki maridhiano, hayo ni maigizo tu.
Hili linaeleweka... Yale mauzauza yanawahusu wao.Ccm hawataki maridhiano, hayo ni maigizo tu.
Polepole alishahitimisha hili "Maridhiano baada ya Uchaguzi ni utapeli na hadaa"....
Mungu amrehemu...
Kafanyieni,bila Saa100 kuwepo"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Wanasiasa mna sarakasi sana, mnataka kuuaminisha Umma kuwa maridhiano haya ni ya vyama vya kisiasa au?..siyo sawa kabisa. Haya ni maridhiano ya Kitaifa yanapaswa kubeba picha ya maslahi mapana ya Jamii "public interest"."Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Kabla ya October 29 ilitakiwa tufanye maridhiano ya nini? Nani anamshutumu mwenzie nani au nani kamfanyia kosa mwenzie?Naam, umuhimu wa maridhiano ulikuwepo kabla ya October 29 , na yangefanyika maridhiano ya kweli kusingetokea maafa makubwa kama yale.
Tuna ombwe kubwa sana la Waandishi wa habari wenye weledi. Nikisikiliza Cloud au Wasafi hubaki najiuliza, hawa waandishi wamesoma wapi na mtaala wao ni upi. Walipaswa kuwa na follow up questions kama;CCM hawaeleweki kabisa... Wao walikaa na vyama kadhaa huko wakajadiliana mambo yao wakasema CHADEMA si lazima wawepo... Kimetokea nini tena?
Hivi CCM hawajui kuwa ile kesi mahakamani ni ya mchongo?
Kama CCM wamekaa na vyama 16 rafiki, na wamesema watafanya maridhiano ni kuhusiana na nini?Tuna ombwe kubwa sana la Waandishi wa habari wenye weledi. Nikisikiliza Cloud au Wasafi hubaki najiuliza, hawa waandishi wamesoma wapi na mtaala wao ni upi. Walipaswa kuwa na follow up questions kama;
1. CCM wamesema ''CHADEMA si muhimu, Kihongosi anawataka wa nini?
2. CCM wameshakaa na vyama 16 rafiki kuanzisha maridhiao, CHADEMA ni ya nini?
3. CCM wanadai ushindi wa kishindo 98% , wanataka mazungumzo kuhusu nini!
4. CCM wanataka maridhiano, ni kuhusu nini ? Maana kuzungumza lazima kuwe na agenda
5. Heche hajasema Mhakama imuachie Tundu, amesema DPP anaweza kutoa nolle, hapa ameingiliaje mahakama?
Kwani kesi ya mchongo imetiki. au ni muendelezo wa , wagawanye, tumia rupia , ili uweze kuwatawala"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Let me rub salt into wound! Hivi vyama 16 rafiki vilishiriki uchaguzi ! vikasaini Fomu za kukubali matokeo kwamba CCM imeshinda 98% Viti vya Bunge na Urais. Vyama 16 havina tatizo na CCM, maridhiano yanayosemwa yanahusu nini?Kama CCM wamekaa na vyama 16 rafiki, na wamesema watafanya maridhiano ni kuhusiana na nini?
Maana sielewi utafanyaje maridhiano na vyama rafiki unless kuna kutokuelewana. Je, ni kuhusu jambo lipi wasiloewana?
Hakuna anaye eleza maridhiano ni kuhusu nini na kati ya watu gani. Hakuna anayejua mazungumzo wa ni ya kuhusu nini, na kati ya nani . Wanataka watu wakusanyiKE halafu sijui inakuwaje! Ni lazima wawe clear kwa UmmaYaani mambo ni mengi ndio maana imenibidi niulize ili Watanzania kwa ujumla wetu tujue tunapoambiwa maridhiano tuwe na clear mind yanahusiana na nini haswa..
Waliamini mambo yatakuwa kama walivyozoea. Uzuri wa mabadiliko ni kwamba usipobadilika jiandae kubadilishwa!Hayo maridhiano a.k.a utapeli utasimamiwa na ccm, na yatakuwa ni maridhiano ya kumpa Samia uhalali wa kukaa madarakani, kisha 2030 wanapora tena uchaguzi, halafu yanaitishwa tena maridhiano mengine.
Kwa msingi na vigezo hivyo hivyo kufanya maridhiano bila CCM na bila kihongosi inawezekana au vipi?"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Watakuwa wanaogopa Media zao kukutana na mkono wa chuma!.Tuna ombwe kubwa sana la Waandishi wa habari wenye weledi. Nikisikiliza Cloud au Wasafi hubaki najiuliza, hawa waandishi wamesoma wapi na mtaala wao ni upi. Walipaswa kuwa na follow up questions kama;
1. CCM wamesema ''CHADEMA si muhimu, Kihongosi anawataka wa nini?
2. CCM wameshakaa na vyama 16 rafiki kuanzisha maridhiao, CHADEMA ni ya nini?
3. CCM wanadai ushindi wa kishindo 98% , wanataka mazungumzo kuhusu nini!
4. CCM wanataka maridhiano, ni kuhusu nini ? Maana kuzungumza lazima kuwe na agenda
5. Heche hajasema Mahakama imuachie Tundu, bali DPP anaweza kutoa nolle, hapa ameingiliaje mahakama?
Kabla ya October 29 ilitakiwa tufanye maridhiano ya nini? Nani anamshutumu mwenzie nani au nani kamfanyia kosa mwenzie?
Yaani nawasoma sana lakini napata majibu mengi tofauti tofauti. Naona hata nyie wote hamuelewi haya maridhiano yatahusu wadau gani na kwa nini tunahitaji maridhiano kwanza, maana maridhiano hutokana na pande mbili kutoelewana. Hizi pande mbili ni zipi na kulitokea nini mpaka ifikie hatia ya kuridhiana. Nani mkosa na nani mhanga?
Maridhiano anaridhiana na nani na kwa sababu gani? Waridhiane kwanza na wananchi waliowaua MO29 kama kuku."Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!