Sijui ni lini WaTanganyika watajitoa muhanga kusimamia mambo ya msingi kama wanayojitoa kufuatilia unyoofu kwenye masuala ya Simba na Yanga!Hayo maridhiano a.k.a utapeli utasimamiwa na ccm, na yatakuwa ni maridhiano ya kumpa Samia uhalali wa kukaa madarakani, kisha 2030 wanapora tena uchaguzi, halafu yanaitishwa tena maridhiano mengine.
ccm ni genge lla wahuni! Majambazi... Matapeli! Mashetani! Wapo tayari kufanya chochote ili wabaki walipo!Maridhiano ya nin na mlipita kwa 99%?
Lini chadema imeomba hayo maridhiano?
Maridhiano ya kukaa na vyama hewa mnapanga yenu eti maridhiano?
Mkapambana mnaifuta chadema mkashndwa hadi wa leo ndo mnakumbuka ni taasisi kwani mlikuwa hamjui tangu mwanzo?
Ccm ombeni wananchi msamaha kwa mlichokifanya acheni kuruka majoka, msione wananchi wametulia mkawaona wajinga, najua hawana la kuwafanya maana hamchelewi kutupiga za vichwa lakin kumbuka damu ya mtu haiendi bure. Sasa hivi mnajipga vifua lakin maaskari mliowatumia wamefuatwa na laana kila kukicha. Mfano mmoja kuna afande sasa hv analala mtaroni kisa ulevi na alikuwa hatumii pombe. Ccm nyie jitapeni kadri mnavyoweza lakin mjue hayo maovu yenu ipo cku mtaumbuka. Leo cjanywa konyagi.
Simba na Yanga mkuu watu hawajitoi muhanga, bali ni hisia tu za kishabiki.Sijui ni lini WaTanganyika watajitoa muhanga kusimamia mambo ya msingi kama wanayojitoa kufuatilia unyoofu kwenye masuala ya Simba na Yanga!
Huyu yupo mzima kweli?"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Mwacheni ajifunze siasa kwa Wana siasa hajui anatamani kuijua siasa"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Hii ni taarifa kuwa mahakama ina maelekezo tayari. Watu wajiandae kisaikilojia"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Ccm hawataki maridhiano, hayo ni maigizo tu.CCM hawaeleweki kabisa... Wao walikaa na vyama kadhaa huko wakajadiliana mambo yao wakasema CHADEMA si lazima wawepo... Kimetokea nini tena?
Hivi CCM hawajui kuwa ile kesi mahakamani ni ya mchongo?
Polepole alishahitimisha hili "Maridhiano baada ya Uchaguzi ni utapeli na hadaa"....Hebu waseme kwanza waliwakosea nini hao wananchi wote.
Huwezi kusema unaenda kwenye maridhiano bila kujua mkosaji na aliyekosewa ni nani?
Na kwanini hii nguvu ya kusukuma maridhiano haikutumika mwaka jana watu walipoomba ?
Ukiona wanagusiwa hapa ujue bila wao mambo hayataelewekaNendeni kwenye maridhiano sio lazima CHADEMA wawepo, maana hata yale makubaliano mliyoingia kabla ya uchaguzi hawakuwepo kwa hiyo endeleeni tu