CHADEMA nyie Mnapaswa Kuburuzwa na kuswagwa tu kama ng'ombe wa mnadani na haina sababu mkaelewa kila kituHivi haya maridhiano yanahusu nini?
Lucas Mwashambwa naomba ufafanuzi
Na je kutakuwa na MEMORANDUM OF UNDERSTANGING au maridhiano ya kingumbaru ngumbaru tu?
Kuna back up yoyote ya kisheria au ya kikatiba?
Sawa Lucas mbwa wa shamba.CHADEMA nyie Mnapaswa Kuburuzwa na kuswagwa tu kama ng'ombe wa mnadani na haina sababu mkaelewa kila kitu
Kama kweli maridhiano ni kuwaleta Watanzania pamoja,basi nu muhimu kufanya utafiti Tundu Lisu ana wafuasi wangapi kabla hatujabeza umuhimu wa ushiriki wake yeye na chama chake kwenye hayo maridhiano."Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Ccm hawataki maridhiano, hayo ni maigizo tu.
Yeye aendelee kuwa msemaji wa CCM"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Polepole alishahitimisha hili "Maridhiano baada ya Uchaguzi ni utapeli na hadaa"....
Mungu amrehemu...
Wataridgiana na nani sasa?"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Hawa sisiemu waovu wanataka kufanya nchi kama ni ya kwao, basi waendele na maridhiano wanaotaka wao kama walivyo fanya MO29 na akili hizi pia zina rejewa na Yule nyara za Sirikali"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Ridhianeni na chawa wenu!Na fisadi wenzenu"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!