Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli.
Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa wapinzani wanaoikosoa serikali....eg Mduge Nyagali, Peter Madeleka, Rugemeleza Nshala na wengine.
Tunatokaje hapa tulipo?
Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa wapinzani wanaoikosoa serikali....eg Mduge Nyagali, Peter Madeleka, Rugemeleza Nshala na wengine.
Tunatokaje hapa tulipo?