Nje ya mada. Hii taarifa ni kweli au si kweli? ππ»ππ»Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli.
Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa wapinzani wanaoikosoa serikali....eg Mduge Nyagali, Peter Madeleka, Rugemeleza Nshala na wengine.
Tunatokaje hapa tulipo?
Wew mwenyewe hujui chochote,badala ya kuandika hoja unamtaja JPM sijui watu uwezo wa kufikiri umeenda wapi.,.sasa Yule shujaa alileta Diipii wedii ipi?Rais Samia alionesha NURU ya utawala bora, wa sheria na kikatiba alipoingia madarakani. Alionyesha kukataa uonevu na uvunjaji haki za binadammu.
Unfortunately NURU hiyo imezimika ghafla baada ya wahafidhina ndani ya chama chake kumtaka _a "consolidate power" for their benefits.
NURU IMEPOTEA, TAA IMEZIMIKA GHAFLA, MATUMAINI HAYAPO TENA
She has gone astray, completely tending to a dictatorship direction!
Mnatengeneza taharuki wenyewe halafu mnataka maoni toka kwa wananchi juu ya upuuzi je mbowe au Lissu wamekamatwa maana hao ndio wapinzani tuwajuwao!Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli.
Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa wapinzani wanaoikosoa serikali....eg Mduge Nyagali, Peter Madeleka, Rugemeleza Nshala na wengine.
Tunatokaje hapa tulipo?
CANDIDATE TO BLOCK/IGNOREWew mwenyewe hujui chochote,badala ya kuandika hoja unamtaja JPM sijui watu uwezo wa kufikiri umeenda wapi.,.sasa Yule shujaa alileta Diipii wedii ipi?
Usilaumu ulipo Angukia Anglia ulipo jikwaa...Wew mwenyewe hujui chochote,badala ya kuandika hoja unamtaja JPM sijui watu uwezo wa kufikiri umeenda wapi.,.sasa Yule shujaa alileta Diipii wedii ipi?