johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ajenda moja ya Maridhiano ya CCM na Chadema ya kuwahakikishia usalama Tundu Lisu, Lema na Wenje imeshazaa matunda na sasa makamanda wako njiani kurejea nyumbani
Lakini ajenda nyingine Ilikuwa ni kuwaondoa bungeni akina Halima Mdee na wenzake kwani siyo wanachama wa Chadema.
Kesi iko mahakamani lakini kama Mnyika alisema wao wamependekeza Mfumo uliotumika kuwaingiza bungeni ndio uwaondoe.
Je, watang'oka?