Maridhiano yanayomrudisha Tundu Lissu nyumbani ndio yatakayomuondoa Halima Mdee Bungeni?

Ajenda moja ya Maridhiano ya CCM na Chadema ya kuwahakikishia usalama Tundu Lisu, Lema na Wenje imeshazaa matunda na sasa makamanda wako njiani kurejea nyumbani

Lakini ajenda nyingine Ilikuwa ni kuwaondoa bungeni akina Halima Mdee na wenzake kwa y siyo wanachama wa Chadema.

Kesi iko mahakamani lakini KM Mnyika alisema wao wamependekeza Mfumo uliotumika kuwaingiza bungeni ndio uwaondoe

Je, watang'oka?
Lissu, Lema, na mjaluo Mkenya Wenje- walikimbia madeni yao waje tu walipe.
Mdee na wenzake wako mahakamani- mkawashinde huko vinginevyo no wanachama HAI WA CHADEMA na wataendelea kuwa bungeni hadi 2025
 
Ajenda moja ya Maridhiano ya CCM na Chadema ya kuwahakikishia usalama Tundu Lisu, Lema na Wenje imeshazaa matunda na sasa makamanda wako njiani kurejea nyumbani

Lakini ajenda nyingine Ilikuwa ni kuwaondoa bungeni akina Halima Mdee na wenzake kwani siyo wanachama wa Chadema.

Kesi iko mahakamani lakini kama Mnyika alisema wao wamependekeza Mfumo uliotumika kuwaingiza bungeni ndio uwaondoe.

Je, watang'oka?
Jamaa mnafiki sana wewe…
 
Mnakomaa na covid 19 wakati huo huo hata huyo Samia ni zao la ule uchaguzi mnaouita uchafuzi hivyo nae hastahili kuwepo ikulu.
 
Ajenda moja ya Maridhiano ya CCM na Chadema ya kuwahakikishia usalama Tundu Lisu, Lema na Wenje imeshazaa matunda na sasa makamanda wako njiani kurejea nyumbani

Lakini ajenda nyingine Ilikuwa ni kuwaondoa bungeni akina Halima Mdee na wenzake kwani siyo wanachama wa Chadema.

Kesi iko mahakamani lakini kama Mnyika alisema wao wamependekeza Mfumo uliotumika kuwaingiza bungeni ndio uwaondoe.

Je, watang'oka?
Toa alama za kuuliza.
 
Unajua maana ya Ikulu?

Wale wameitwa na CCM ndio sababu vile vikao huwaoni Watendaji wa serikali bali akina Mzee Kinana, Komredi Chongollo, Mndeme, Shaka nk

Chadema ni Bawacha kwa sasa
Samia nae hana tofauti na covid 19 maana ni zao la ule uchafuzi wa 2020.
 
Back
Top Bottom