Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Ni Mahakama tu inayoweza kulijibu swali hili kwa sasa,; na ninaomba sana kama Mahakama itaridhia kufukuzwa kwao, basi itapendeza sana kama otaridhia kufukuzwa kwao itakapofika Julai 2025Ajenda moja ya Maridhiano ya CCM na Chadema ya kuwahakikishia usalama Tundu Lisu, Lema na Wenje imeshazaa matunda na sasa makamanda wako njiani kurejea nyumbani
Lakini ajenda nyingine Ilikuwa ni kuwaondoa bungeni akina Halima Mdee na wenzake kwani siyo wanachama wa Chadema.
Kesi iko mahakamani lakini kama Mnyika alisema wao wamependekeza Mfumo uliotumika kuwaingiza bungeni ndio uwaondoe.
Je, watang'oka?