Maridhiano yanayomrudisha Tundu Lissu nyumbani ndio yatakayomuondoa Halima Mdee Bungeni?

Lissu, Lema, na mjaluo Mkenya Wenje- walikimbia madeni yao waje tu walipe.
Mdee na wenzake wako mahakamani- mkawashinde huko vinginevyo no wanachama HAI WA CHADEMA na wataendelea kuwa bungeni hadi 2025
 
Jamaa mnafiki sana wewe…
 
Mnakomaa na covid 19 wakati huo huo hata huyo Samia ni zao la ule uchaguzi mnaouita uchafuzi hivyo nae hastahili kuwepo ikulu.
 
Toa alama za kuuliza.
 
Unajua maana ya Ikulu?

Wale wameitwa na CCM ndio sababu vile vikao huwaoni Watendaji wa serikali bali akina Mzee Kinana, Komredi Chongollo, Mndeme, Shaka nk

Chadema ni Bawacha kwa sasa
Samia nae hana tofauti na covid 19 maana ni zao la ule uchafuzi wa 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…