Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

FB_IMG_1740972811115.jpg
 
Dunia inabadilika. Matukio ya ajabu yanazidi kutokea.

Ukiwa na macho ya kuona na masikio ya kusikia, lazima utagundua kuwa kuna kitu kikubwa kinachotendeka.

Sio hadithi za kutunga, sio tu mambo ya kawaida haya ni mambo ya unabii yaliyotabiriwa miaka elfu nyingi nyuma, sasa yanatimia moja baada ya jingine.

Ulishawahi kujiuliza kwa nini maji ya mito yanageuka kuwa mekundu kama damu?

Kwa nini majangwa yanazama kwa maji kule Saudi Arabia?

Kwa nini samaki wakubwa kama papa wanakimbia baharini na kuingia nchi kavu, wakikataa kurudi majini hata kama wakirudishwa kwa nguvu?

Hebu tulia, tusafiri kidogo ndani ya fumbo hili...

Biblia na vitabu vingine vya dini vimeeleza wazi kuwa bahari ni sehemu yenye nguvu za ajabu, yenye viumbe visivyo vya kawaida, na imebeba historia nzito ya ulimwengu huu.

Kitabu cha Henoko kinaeleza kuwa Mungu anaichukia sana bahari, kwa sababu imejaa uchafu mwingi kuliko nchi kavu.

Ina maana gani? Je, ni uchafu wa kimwili pekee au kuna kitu kingine zaidi kinachofichwa?

Na ndio maana, ukisoma Ufunuo 21:1, inasema mbingu mpya haitakuwa na bahari tena. Kwa nini? Ina maana Mungu ameamua kuachana nayo kabisa, hapendi hata iwepo.
Credit: boniventura wa Twitter
20250315_100305.jpg
 
Back
Top Bottom