Maringo kibao, kumbe hamna kitu maseee!

Maringo kibao, kumbe hamna kitu maseee!

Aseee, Mimi ndie.
FREE ERICK KAFLAG!

Eeebana! last weekend niliamua kumeet na mwanamke mmoja hivi niliechat nae mtandaoni kwa mda kama mwezi hivi (sio JF), wakati tunaongea kwa phone asee mtoto ana sauti nyororo iliyokua inapelekea nyoka wangu kutoka pangoni.

Nilivyokutana nae sikuamini!, Msee wangu, kumbe uzuri ule yalikua ni mapicha tuu na camera 360, ma edit kibao mazeee!

Duh! KwanzA ana umbo namba 9, sura ya kawaida sana alongside Bonge ya ziwa kama dafu mazeee!

Duh! Ebana tunaharibiana nauli punguzeni kujiedit mitandaoni,aaaagh!

Minikaona nimpe tuu nauli asepe zake asee nikamwambia Nina emergency, maana alikua amekuja kwa ajili ya kuliwa.

Aaah ila mtandaoni sasa kila demu mzuri mazee, ujuaji mwingi kumbe ni wa kawaidaaaa!!
ukaachia kuku wa kuliwa sababu uzito hauridhishi hahahahahahaha pole sana
 
kama sauti nzuri unazima taa unamla kwa sauti yake tu hahahaha mm mbio
 
Kamanda siku nyingine inabidi ufahamu kwamba mtambo wa kukamulia juice hauchagui ubora wa tunda..[emoji23][emoji23]
 
Mie niliwai kutana nae mmoja ameoza meno hadi alinitisha, yani meno yametokeza ad kwa njee.. Ila sjakoma kutongoza mitandaoni
 
Aseee, Mimi ndie.
FREE ERICK KAFLAG!

Eeebana! last weekend niliamua kumeet na mwanamke mmoja hivi niliechat nae mtandaoni kwa mda kama mwezi hivi (sio JF), wakati tunaongea kwa phone asee mtoto ana sauti nyororo iliyokua inapelekea nyoka wangu kutoka pangoni.

Nilivyokutana nae sikuamini!, Msee wangu, kumbe uzuri ule yalikua ni mapicha tuu na camera 360, ma edit kibao mazeee!

Duh! KwanzA ana umbo namba 9, sura ya kawaida sana alongside Bonge ya ziwa kama dafu mazeee!

Duh! Ebana tunaharibiana nauli punguzeni kujiedit mitandaoni,aaaagh!

Minikaona nimpe tuu nauli asepe zake asee nikamwambia Nina emergency, maana alikua amekuja kwa ajili ya kuliwa.

Aaah ila mtandaoni sasa kila demu mzuri mazee, ujuaji mwingi kumbe ni wa kawaidaaaa!!

Daaah we jamaa Tangia unaanza Kupost topic zako JF, Nikajua utakuwa Mambo mengi.

unazingua Mkuu [emoji41]
 
Back
Top Bottom