Marioo afunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Milioni 550 kwa kukiuka Mkataba wa Tamasha

Kutoka Omary Mwanga hadi Marioo.duuh

Anyway, wana-overestimate ili waki-settle hiyo gharama ishuke..
 
Hii ni kesi au mavi. Kwamba wao walitegemea wampe milioni 15 ili wao wavune faida ya milioni 550? Kwa show ipi ya mavi kama.hio ya kuwaimbia hao mamiss uchwara
Kwan ulivyosoma mkuu, hiyo 550m ni hasara au ni madai ya fidia? Maana msije mkawa mnakurupuka tu.

Ay na Fa walitaka fidia ya 1b toka Tigo, kwan walitumia factors gan kudai hiyo figure maana uwekezajo wao katika ile audio haifiki hata hiyo 15m!.

Nafikir haya ni masuala ya mikataba na terms dictated as pelnaties incase one undermines the agreement.

Ni kama wewe tu, unaweza mpa mpangaji wako mkataba wa kodi ya 150k na ukaambatanisha kifungu cha kulipwa 200M endapo mteja akiunguza taa, so akikubaliana na mashart why iomekane kitu cha ajabu??
 
Tamasha lilifanyika au halikufanyika???? Kama lilifanyika watu waliingia au hawakuingia??
Je Tamasha la mamiss au la Marioooooo?
Kesi nyepesi hiyoooo
Ubi jus ibi remedium....."where there is a right, there is a remedy."
 
At least Alie anzisha Uzi at least angeweka na prayers zilipo kwenye plaint/hati ya madai watu wajue hio 550 inefikaje ila kuna item kama
1. Hio contractual amount 15m
2. Specific damages
3. General damages
4. Punitive damages
5. Interest on contractual amount and
5. Any other reliefs pleaded
 
Correction kidogo, walimtaka zaidi ya billion 6, Waka pata 2.1 hivi.
 
Jaji Tiganga๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ