Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake.

Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika.

Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio.

Tafuteni pesa vijana
 
Pesa itawafanya wanawake wawe karibu yako tu sio kukupenda, huku mtaani wapaka kucha rangi wanakula totoz kali bureeeeeee
 
Pesa itawafanya wanawake wawe karibu yako tu sio kukupenda, huku mtaani wapaka kucha rangi wanakula totoz kali bureeeeeee
pesa ikiwafanya wawe karibu nawe ina maana stress za mapenzi utakuwa huna kama vile ukiwa huna saliooo
 
Ukiishi vizuri na wenye vibuyu vyao unatikisa kishkaji tu.

Ondoa aibu tu.
 
Alafu kingine cha kukumbusha kama kijana mpambanaji focus na goals zako kama kijana ambaye umezaliwa katika familia ya kimaskini sio vizuri kutafuta pesa et uvimbe kwa mwanamke...

Tafuta pesa ili utoke kwenye chain ya umaskini.
Tafuta pesa ili kesho yako iwe better zaidi ya your parents.


Vijana tutafuteni pesa ila sio kwa influence ya mapenzi wakuu
 
tunatafuta salio ili tuje kutumia na hawa viumbe wa mbavu za kushoto
 
Maisha bila ya mapenzi yanaboa
 
kisa salioooo itakusumbua kwasababu utakuwa huwezi kumtunza. Mwanamke anataka laki akasuke wewe unajibu huna saliooo...lazima ugongewe
"Mjanja anamega kisela, wajinga wanachunwa hela..."

Navy kenzo - Nisogelee(2021)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…