Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Wote tunamjua marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.

Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.

Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.

Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta.

Nidhamu kwake imekuwa ni mtihani.

Anapewa pesa ya ghost writing yeye anaenda media kutangaza nandy nimemuandikia mimi barnaba nimemuandikia mimi...huu ni utovu wa nidhamu na kukiuka makubaliano si ustaarabu.

Lakini yote kwa yote amevuka mipaka sasa anamvimbia Simba.
Marioo wa kumwambia Simba anatafuta kick kupitia wewe wakati ulikuwa unapanga foleni ya kumuona pale mbezi ili asimamie project zako?! Mbona kina Barnaba king mopao wanakubali Simba aanawapush wewe umeenda kuomba alafu unasema Simba anatafuta kick kwako si ndio basi sawa.malipo ni hapa hapa duniani


Muziki unahitaji discipline..muulize talented aslay kuvimba kulimfikisha wapi na waliokuwa wanamshika masikio walipotelea wapi sasa hivi ata pakuishi amekuwa anabebwa.

Chunga sana kijana

View attachment 2594537
Tafuta hela acha ufala.
 
Kwani aliempa kipaji ni mond?
Mario na bad nation haitokaa idrop mkuu acha chuki na utimu wa kishamba.

Mpe mtu sifa yake hupungukiwi na kitu ukifanya hivyo.
Niliwai kuuliza ili swali. Majibu leo wote tunayo

 
Marioo kapiga kwenye mshonoo, na kasema wazi hajawahi kuomba kusainiwa WCB, huyo Domokayaa alipitiwa labda au alisahau ni nani alimuomba kusainiwa, na sio yeye Marioo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee chawa mkuu wa Domokayaa mmekanwaa kweupeeee.
 
Niliwai kuuliza ili swali. Majibu leo wote tunayo

Acha kumhusisha marioo na vitu vya kipuuzi. Kinachomfanya mario awe hapo alipo ni kipaji na nidhamu ya kazi yake.
 
Niliwai kuuliza ili swali. Majibu leo wote tunayo

Marioo ameshatoboa na katoboaa tenaaa.
Tutolee ashuo zako hapa, chezeaa baadiiiii weyeee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi mnaanza kuharaaaaa poleeeeee.
 
Marioo ameshatoboa na katoboaa tenaaa.
Tutolee ashuo zako hapa, chezeaa baadiiiii weyeee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi mnaanza kuharaaaaa poleeeeee.
Yeye anaemtuma Abba kwa babutale akamuombee msamaaa kwa Simba alafu anarudi media anavimba ndio anahara mtoto mdogo sana yule anahitaji kushikwa mkono afike mjini anapoenda sasa ni pagumu mno weken akiba ya maneno msimalize yote
 
Back
Top Bottom