Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Pale wasafi hakuna hata msanii mmoja anayemuweza mario kuanzia kuimba mpaka kuandika sema tu wale jamaa wapo vizuri upande wa pili.
 
Wote tunamjua marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.

Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.

Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.

Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta.

Nidhamu kwake imekuwa ni mtihani.

Anapewa pesa ya ghost writing yeye anaenda media kutangaza nandy nimemuandikia mimi barnaba nimemuandikia mimi...huu ni utovu wa nidhamu na kukiuka makubaliano si ustaarabu.

Lakini yote kwa yote amevuka mipaka sasa anamvimbia Simba.
Marioo wa kumwambia Simba anatafuta kick kupitia wewe wakati ulikuwa unapanga foleni ya kumuona pale mbezi ili asimamie project zako?! Mbona kina Barnaba king mopao wanakubali Simba aanawapush wewe umeenda kuomba alafu unasema Simba anatafuta kick kwako si ndio basi sawa.malipo ni hapa hapa duniani


Muziki unahitaji discipline..muulize talented aslay kuvimba kulimfikisha wapi na waliokuwa wanamshika masikio walipotelea wapi sasa hivi ata pakuishi amekuwa anabebwa.

Chunga sana kijana

View attachment 2594537
Wewe ndiye ulikuwa demu wake?

Mpigie simu umwambie ama hapokei simu zako?
 
marioo na mboso wap n wap

sema una chuki na dogo

unasema kusoma na kuandika kwake mtihani, alafu unasema kawaandikia watu anajisifu (sasa aliwaandikiaje na kusoma na kuandika kwake mtihani)

wewe ndo mwenye akili ndogo mnooooo, una chuki za kipumbavu mnoooo
Jamaa ana mambo ya ki David..
 
Wewe Marioo anaimba kaswida tangu lini?maana Mbosso anaomba kaswida na dufu.....Marioo habari nyingine wewe............
 
Marioo anawapa pressure hapo USAFINI eeh
Huyu dogo hamtaweza kumshusha zama hizi ya social network
 
Huyu lokole enzi hizo anakata mauno tm academia,eti leo kawa msema ovyo
Hivi wazee wake bado wako sinza

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waende wapiii??
 
Hivi wewe ndio uliyesema Dizasta Vina ni km Mrisho mpoto? Nilijikuta nakufananisha na sehem za Siri za mwanamke.. Samahani lakn km si wew!!
 
Hivi wewe ndio uliyesema Dizasta Vina ni km Mrisho mpoto? Nilijikuta nakufananisha na sehem za Siri za mwanamke.. Samahani lakn km si wew!!
Kwani ni uongo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
 
Back
Top Bottom