Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Marioo ndyo mwanamuziki nambari UNO kwa Sasa nchini Tanzania kubali kataa

Nakubali diamond n msanii Bora ila kwa Sasa kubalini huyo dogo kwa Sasa Ni noma Tena Sana

Mboso hawez mfikia huyo kijana mboso anaimba taarab m hanganyiko na nachinachi Kutoka bara Hindi
Tupo hapa tutawakumbusha.
 
Majuto ni sehemu ya maisha. Vipi na waliochelewa kuoa hadi wanaitwa babu na watoto je
 
Wote tunamjua marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.

Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.

Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.

Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta.

Nidhamu kwake imekuwa ni mtihani.

Anapewa pesa ya ghost writing yeye anaenda media kutangaza nandy nimemuandikia mimi barnaba nimemuandikia mimi...huu ni utovu wa nidhamu na kukiuka makubaliano si ustaarabu.

Lakini yote kwa yote amevuka mipaka sasa anamvimbia Simba.
Marioo wa kumwambia Simba anatafuta kick kupitia wewe wakati ulikuwa unapanga foleni ya kumuona pale mbezi ili asimamie project zako?! Mbona kina Barnaba king mopao wanakubali Simba aanawapush wewe umeenda kuomba alafu unasema Simba anatafuta kick kwako si ndio basi sawa.malipo ni hapa hapa duniani

Muziki unahitaji discipline..muulize talented aslay kuvimba kulimfikisha wapi na waliokuwa wanamshika masikio walipotelea wapi sasa hivi ata pakuishi amekuwa anabebwa.

Chunga sana kijana

View attachment 2594537
Kama sio mwijaku basi ni baba levo.
Maana ndo chawa wa diamond hao.
Mmekuja kutetea ugali wenu
 
Dyadyaaa mji mzitoo, kuna wahongaji Bongo??
Watu washamchakachua mtu kunako, na range wamebebaaa,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea pedeshee wa town weyeee.
Mambo yamechemka aiseee...
Ndiyo maana siku hizi kiherehere cha Range this... Range that kimeisha..
 
Mambo yamechemka aiseee...
Ndiyo maana siku hizi kiherehere cha Range this... Range that kimeisha..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka wakati ndo anatamba nalo, basi tukawa chimbo anaanza kujifaragua, na kumchamba A, eti anaburuzwa na watoto wa kino hata IST hapewi,

Mie nkamuuliza wee unavotamba na kucheka wenzio, hiyo Range kadi na bima zinasoma jina lako?? Etii oooh kuna jamaa ndo yuko kufuatilia ikikamilika napewaa, dyadyaa nilichekaa hadi machozi ile siku. Nkamuambia sio wee kidampaa,. Walikuwa slays tena wenye nyota zao, mfano Wema sepetu. Muulize akupe tips za wanaume wa bongo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hizi chimbo haonekani, na last seen 2,weeks ago, na waja wanamsubiri balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku aki log in atajuta kuwafahamu. Uwiiiiih
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
A ni nani tena Dogo?
 
marioo na mboso wap n wap

sema una chuki na dogo

unasema kusoma na kuandika kwake mtihani, alafu unasema kawaandikia watu anajisifu (sasa aliwaandikiaje na kusoma na kuandika kwake mtihani)

wewe ndo mwenye akili ndogo mnooooo, una chuki za kipumbavu mnoooo
Aisee 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom